paroles de chanson 12.Maswali Kibao - Jua Cali
Maswali
kibao
Maswali
kibao
Eeeeeeeeh!!!
Maswali
kibao
Chali
yangu
we
ni
mbigi
utembea
aje
tao?
Naskia
we
ni
mjanja
uliamua
kujenga
aje
hao?
Besides
ngoma
mtu
wangu
we
ufanya
nini?
Masiku
zinaenda
chali
yangu
utaoa
lini?
Naskia
ukihama
we
upitia
watu
mtaani?
Unajuana
sana
unaeza
nisaidia
kupata
kazi?
Unaskuma
gari
gani
mtu
wangu
nikikualika
utakuja
birthday
yangu?
Karibu
kejani
unapiga
makali
ama
keg
We
uingiza
baridi
kabla
upande
stage?
Kwa
nini
unaspell
jina
yako
hivyo?
Unaongea
mtu
wangu
kwa
nini
we
uroga
hivyo?
Maswali
kibao
Maswali
kibao
Eeeeeeeeh!!!
Maswali
kibao
Unaongea
sheng
sana
unajua
kizungu
kweli?
We
si
mtu
wa
kawaida
we
uskia
njaa
kweli?
Besides
ngoma
zako
we
huskiza
nani
mwingine?
Unacheka
sana
we
ukasirika
saa
zingine?
We
udeal
aje
na
stress
mtu
wangu
We
udeal
aje
na
ma
groupie
mtu
wangu
Vitu
zako
zimekubali
we
hushukuru
Mungu
We
ukumbuka
zile
siku
zilikua
Ngumu
Kenya
kubwa
we
ni
kabila
gani
Mungu
mkubwa
unafuata
dini
gani
We
ni
mwanaume
kwa
nini
unafuga
nywele
hivyo
Ni
siri
gani
Unatumia
kukaa
kwa
industry
hivyo
Maswali
kibao
Maswali
kibao
Eeeeeeeeh!!!
Maswali
kibao
Ulipanda
matatu
mwisho
siku
gani
Clemo
ye
ukua
chini
ya
Maji
ye
ni
mtu
design
gani
Genge
inamaanisha
nini
chali
yangu
Ulifuta
Msoto
siku
gani
chali
yangu
Ulitoa
wapi
roho
ya
kuperform
mbele
ya
Watu
wengi
Na
ka
hauperform
we
udunda
wapi
weekendi
Unajulikana
sana
We
hutembea
na
id
yako
Fan
ja
mimi
unaeza
mkaribisha
kwako
Dishi
gani
Inakubamba
kabisa
Ngoma
gani
yako
inakubamba
kabisa
we
uenda
ocha
Kweli
kucheki
wazazi
Na
una
feel
aje
kukua
JUACALI
Maswali
kibao
Maswali
kibao
Eeeeeeeeh!!!
Maswali
kibao
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.