paroles de chanson Sitaki Demu - Juma Nature
Sitaki
Demu!
Nakuomba
usije
kwetu
mamdogo
utatia
hasara
Uyo
mdogo
wangu
mwenyewe
toka
atoke
shule
hajala
Aaah
bwana
eh
usinifate
bwana
We
si
ukalale
uwape
mbu
faida
bwana
Hivi
aliyekwambia
uzime
taa
humu
ndani
nani
Kila
ukija
nyumbani
we
unaondoka
Kila
ukija
nyumbani
we
unaondoka
Nimetokea
upande
wa
pili
nmeenda
kwa
kina
bashir
Na
usije
kwetu
hakuna
kitenge
wala
kanga
Shauri
ukija
wazazi
wangu
watakuona
mwanga
Nakumbuka
ile
siku
ambayo
umenisemelea
kwa
Dingi
Ukadai
ya
kwamba
me
uwa
nachanganya
mitungi
Na
kwenye
kula
ganja
kilasiku
sijifungi
Ukaondoka
na
cheko
nyuma
ukaacha
kivumbi
Aya
sasa
unaona
mwenzio
umeniachia
zogo
Mjeruhi
wa
simba,
chui
mjeruhi
wa
mbogo
Umesababisha
hata
majirani
wananitupia
kisogo
Tena
usinibishie
ntakupa
kidochi
chi
chi
Tatizo
limenisumbua
me
sitaki
unung'unike
Wakati
napita
we
kimbia
ndio
mia
niishike
Na
usinilete
zile
zako
za
kike
kike
Na
kuanzia
muda
huu
me
naudhu
usinshike
Afadhal
demu
mwenyewe
ungekuwa
unafunga
domo
Hapo
ningejipa
moyo
unalijua
somo
Tena
angalia
sana
usinizuge
na
shikamoo
Aya
nimeghairi
nenda
kwa
huyo
huyo
Jemo
Walimwengu
walikwisha
niambia
kuwa
demu
wangu
mimi
hafai
(Hafai)
Mimi
nikawabishia
nikaona
wao
ndio
hawafai
Hivi
sasa
me
najuta
sitaki
demu
sihitaji
eeh
(Sitaki
demu)
Bora
nitafute
mchumba
sitaki
demu
sihitaji
eeh
(Sitaki
demu)
Ukimpikia
nyani
shambani
atakusumbua
Utayavuna
mabua
na
usiombee
wenzio
kujua
watakucheka
Kizuri
munju
mwenda
ranga
siye
mkongoto
niliyoupamga,
hata
ukiwanga
Kipi
kimegusa
we
kipusa
uliyesuswa
Mpaka
ukawambia
wenzio
unanirusha,
unanirusha'?
Ukome
kunzushia
tena
usilete
za
kizushi
Kwanza
ziache
uhuni
Hunitupi
kwa
kichechema
wala
kipande
cha
mbuni
Mkongwe
naitwa
Kibra
mwenye
maana
hachunwi
Mradi
nshapima
nmeonekana
sina
ngoma
Wee
bado
hujakoma?
Nimekuambia
sitaki
demu,
ukinifwatilia
nitakushtaki
Nikitoka
hapa
nikirudi
sitaki
kuona
umebaki
Ujificha
kwenye
kabati
au
kufia
andaki
Msichana
gani
mhuni
kila
siku
unaongwa
laki
Hata
kama
ni
njaa
mama
hii
yako
imezidi
Niache
niwe
free
nimpate
yule
namtaka
Ambaye
najua
nitatumia
muda
wangu
kumsaka
Mtoto
aliye
wa
kweli,
ukimwona
anao
uwezo
wa
kuishi
kwenye
Ushelisheli
Sitaki
demu
ebu
uko
Jamani!
Huyu
demu
mtoto
wa
mzee
Mwalubadu
Yule
mzee
mvuvi
anayeongoza
kwa
kuvua
ngadu
Na
tena
una
bahati
dada
yangu
sijakuoa
Ningekupa
talaka
yasiyo
na
masikio
yoyote
We
mtu
gani
muhuni
unatambulika
njia
zote?
Ama
tambaa
zako
bwana
hunitishi
lolote!
Walimwengu
walikwisha
niambia
kuwa
demu
wangu
mimi
hafai
(Hafai)
Mimi
nikawabishia
nikaona
wao
ndio
hawafai
Hivi
sasa
me
najuta
sitaki
demu
sihitaji
eeh
(Sitaki
demu)
Bora
nitafute
mchumba
sitaki
demu
sihitaji
eeh
(Sitaki
demu)
Sitaki
demu!
Walimwengu
walikwisha
niambia
kuwa
demu
wangu
mimi
hafai
(Hafai)
Mimi
nikawabishia
nikaona
wao
ndio
hawafai
Hivi
sasa
me
najuta
sitaki
demu
sihitaji
eeh
(Sitaki
demu)
Bora
nitafute
mchumba
sitaki
demu
sihitaji
eeh
(Sitaki
demu)
Sitaki
demu!
Sitaki
demu!
End
![Juma Nature - Best of Juma Nature](https://pic.Lyrhub.com/img/f/t/p/w/mpNomOwpTf.jpg)
1 Dogo
2 Hakuna Kulala
3 Hili Game
4 History
5 Inaniuma Sana
6 Jinsi Kijana
7 Kila Siku Za Week
8 Komaa
9 Msela
10 Mugambo
11 Mzee Busara
12 Sitaki Demu
13 Sonia
14 Utajiju
15 Inaniuma Sana (Remix)
16 Hipotei
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.