paroles de chanson Hawataki - K2ga
Instrunmental
Sijutii
moyo
wako
juu
ya
Mimi
ndo
chaguo
lako
Nakupenda
nakujali
amini
baby
ooh
Unaposikia
mabaya
yakisemwa
kwamba
nakuchit
sikupendi
Ninawanawake
wengi
Sana
ooooh
oooh
Sanaa
oooh
oooh...
Hawataki
niwe
nawe
Hawapendi
niwe
nawe
Hawataki
niwe
nawe
nawe
nawe...
Hawapendi
niwe
nawe
Hawataki
niwe
nawe
Hawapendi
niwe
nawe
nawe
nawe...
Kwanza
nakula
kiapo
uniamini
Uko
peke
yako
kwangu
moyoni
Nalinda
penzi
lako
nalidhamini
Sasa
nunu
wanuna
nini?
Usiwasikize
hao
wapuuzi
Wanakata
matawi
na
mizizi
Nia
yao
waharibu
penzi
Aaah
penzi,
ah
aaah
penzi
Hawataki
niwe
nawe
Hawapendi
niwe
nawe
Hawataki
niwe
nawe
Nawe
nawe,
nawe
nawe,
nawe
Hawapendi
niwe
nawe
Hawataki
niwe
nawe
Hawapendi
niwe
na
Nawe
na
nawe
na,
nawe
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.