paroles de chanson Unaniona - K2ga
Nilipata
tabu,kupata
penzi
lako
Kukubandua
ulisita
moyo
wako
Benki
ya
moyo
funguo
ipo
kwako
Mimi
mazima
siwezi
toka
kwako
Jamani
moyo
wangu
usijezima
Kulalamika
ka
kilema
Kunipa
penzi
lako
hata
huruma
huna
Unanitesa
sana
Jamani
moyo
wangu
usijezima
Kulalamika
ka
kilema
Kunipa
penzi
lako
hata
huruma
huna
Unanitesa
sana
Kitochi,kibuti,kumwagwa,kutoswa,kutemwa
Inauma
sana
Na
kitochi,
kibuti,kumwagwa,kutoswa,kutemwa
Sasa
hivi
unaniona,thamani
me
sina
Avonisema,sina
maana
tena
Sasahivi
unaniona,thamani
me
sina
Unavonisema,sina
maana
tena
Wasiwasi
wa
moyo
nilonao,moyo
wako
bdo
hujaona
Kua
na
wew
bado
naona,Uzito
wa
penzi
lako
mzani
unagoma
Basi
nipe
sikio
mimi
Leo,nisikie
niyasemayo
Usinipeleke
mbio
sana,kama
hunitaki
wewe
sema
Mana
hata
raha
sina,sina,sina
pakupapasa
sina
Sina
pakushika
sina,sina
pakuhemea
sina
Kitochi,kibuti,kutoswa,kumwagwa,kutemwa,inauma
sana×2
Sasahivi
unaniona,thamani
me
sina
Unavonisema
sina
maana
tena
×2
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.