paroles de chanson Awena - Kassim Mganga
Niliapa
ukiondoka
mpenzi,
Nitaondoka
nawe,
Sikuahidi
kukufuta
Machozi,
Bali
Nitalia
Nawe,
Inamana
Hata
Ukiondoka
Mpenzi
Kunitazama,
Hutaki
Awena
Basi
Kama
Ninakosa
kwako
nililofanya,
Nieleze
Awena
Chozi
langu
la
thamani
Unaliacha
Liangukee
eeh
Tuliopanga
Zamani
Inamana
Si
Chochote,
Utamu
wa
mapenzi
Tulienjoy
Mi
Nawe,
Kipenzi
Changu
Awena
Utamu
wa
mapenzi
Tulienjoy
Mi
Nawe
Rudisha
Moyo
Awena
Iweje
Penzi
langu
kwako
unalikatisha
(Iweje
eeh)
Iweje
Penzi
langu
kwako
ukalikatisha
Inamana
tunda
langu
basi
Utamu
umekwisha
babay
Labda
ungesema
mapema
kuwa
Penzi
langu
huliitaji
Awena,
Kuliko
kuondoka
wakati
Moyo
wangu
bado
unakuitaji
Awena,
Utamu
wa
mapenzi
nilienjoy
Mi
Nawe
Kipenzi
Changu
Awena
Utamu
wa
mapenzi
nilienjoy
Mi
Nawe
Rudisha
Moyo
Awenaah
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.