paroles de chanson Dalilah - Kassim Mganga
Mapenzi
yoyo,
yanamuumiza
Dalilah
Hali
akashiba
anawaza,
yanamuumiza
Dalilah
Mapenzi
yoyo,
yanamuumiza
Dalilah
Halali
anakesha
akiwaza,
yanamuumiza
Dalilah
Dalilah
naimba
huruma,
na
wewe
ujionee
huruma
Funga
hilo
moyoni
mwako,
ukipenda
penda
kivyako
vyako
Chunga
isije
ikala
kwako,
ukipendwa
ficha
mpenzi
wako
Ona
mapenzi
yanavyokuliza,
ona
mawazo
yanakumaliza
Dalilah
Ukachora
tatoo
ya
kopa
kati
na
jina
lake,
penzini
ukajitosa
Ukaifuta
tatoo,
uuguze
donda
ubaki
na
kovu
lake
Moyoni
vunja
mfupa,
Ungefanya
choyo,
ungedumu
nae
Mapenzi
yoyo,
yanamuumiza
Dalilah
Hali
akashiba
anawaza,
yanamuumiza
Dalilah
Mapenzi
yoyo,
yanamuumiza
Dalilah
Halali
anakesha
akiwaza,
yanamuumiza
Dalilah
Waalika
best
zako,
waje
dinner
nyumbani
kwako
Kijiwe
sebuleni
kwako,
story
na
sifa
za
baby
wako
Mwala
kwa
muwinda
mapenzi
akayashindwa,
kapigiwa
akacheza
Usiku
anajiiba,
mapenzi
kayavunja
na
kibwebwe
kajifunga
Ukachora
tatoo
ya
kopa
kati
na
jina
lake,
penzini
ukajitosa
Ukaifuta
tatoo,
uuguze
donda
ubaki
na
kovu
lake
Moyoni
vunja
mfupa,
Ungefanya
choyo,
ungedumu
nae
Mapenzi
yoyo,
yanamuumiza
Dalilah
Hali
akashiba
anawaza,
yanamuumiza
Dalilah
Mapenzi
yoyo,
yanamuumiza
Dalilah
Halali
anakesha
akiwaza,
yanamuumiza
Dalilah
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.