Kassim Mganga - Manuari - Tajiri Wa Mahaba paroles de chanson

paroles de chanson Manuari - Tajiri Wa Mahaba - Kassim Mganga



Natamani angekuwa na Pesa love ningekununulia gorofa
Natamani angekuwa na pesa love na utajiri wa Bhakresa
Nikununulie shamba kilembwa na makopa na lozera
Nikununulie motokaa na fweza kwa mashosti ukauze sura
Leo nipo kesho sipo hautoteseka
Penzi langu penzi lako pumzi umeshika
Nimezunguka bara kote visiwani nimemaliza
Nimeonjeshwa ladha zote ila we umenimaliza
Mimi nawe wakesho na keaho sio wa leo na kesho
Hallow baby
Nife nawe nakula kipo penzi lisiwe na mwisho
Hallow mpenzi
Nimezunguka bara kote visiwani nimemaliza
Nimeonjeshwa ladha zote ila we umenimaliza, Hallow
Ntakutunzia penzi manuari
Chini nipige mbizi kwa safari
Kukwangusha siwezi mi hodari
Ntalinda ntalienzi kila hali x2
Baby eeh baby eeh
Dunia ya longa longa
Baby eeh baby eeeh
Masikio weka pamba
Waambie eeh na wajue eeh
Kwako nishatia nanga
Naapa milele sitolivunja abadani
Napiga vigele pete ya ndoa kidoleni
Mimi nawe wakesho na kesho
Sio waleo na kesho hallow baby
Nife nawe nakula kiapo penzi lisiwe na mwisho
Halow mpenzii
Nimezunguka bara kote visiwani nimemaliza
Nimeonjeshwa ladha zote ila we umenimaliza, Hallow
Ntakutunzia penzi manuari
Chini nipige mbizi kwa safari
Kukwangusha siwezi mi hodari
Ntalinda ntalienzi kila hali x2



Writer(s): Kassim Mganga


Kassim Mganga - Manuari (Tajiri Wa Mahaba)
Album Manuari (Tajiri Wa Mahaba)
date de sortie
23-06-2016




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.