Kassim Mganga - Usiende Kwa Mganga paroles de chanson

paroles de chanson Usiende Kwa Mganga - Kassim Mganga



Tazama sura yako ilivyo nzuri, macho mazuri, na jihisi raha
Tazama midomo yako mizuri, miguu mizuri
Najihisi raha.
Tazama unavyo nipendeza unavyo nipendeza najihisi raha, Tazama ninavyo kupenda najihisi raha.
Napenda unavyo niheshimu kiukweli japo sio sana nakuomba zidisha
Napenda kauli zako ni nzuri japo sio Sana
Nakuomba zidisha.
Wanao sema asali tamu kuliko mapenzi kuliko mapenzi nakataa
Wanao sema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa
Aaaa yaa yaaa
Usiende kwa mganga (usiende baby wangu) usiende nisikilize mpenzi wangu x2
Siunajua mihangaiko yangu, jua Kali nikirudi nimechoka x2
Nipo kee basi vifurushi nipige na busy nibembeleze.Nipikie chakula kizuri mpenzi ili nishibe nikushukuru
Unizidishie mapenzi zaidi unayo nipa nisiende kwengine
Wanaosema asali tamu kuliko mapenzi kuliko mapenzi nakataa aah wanao sema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa aaah yaaa yaaa
Usiende kwa mganga usiende nisikilize mpenzi wangu x2
Tupendane tupendane tupendane tupendane mpenzi wangu.



Writer(s): kassim mganga


Kassim Mganga - Tajiri Wa Mahaba
Album Tajiri Wa Mahaba
date de sortie
08-10-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.