paroles de chanson Hadi Kifo - Kidum
Ooh
ooh
ooh
oooh
Yeah
Huyu
ni
Ms
Zerah
Nini,
kwani
kwanini
Na
kidumu
kibido
Nasema
mpenzi
Tumetoka
mbali
Sasa
ni
wakati
Tufikilie
ndoa
Tukingoja
ngoja
Tutapata
mwana
si
wetu
Ni
muhimu
tuchukue
maamuzi
Kumbuka
vile
Wapinzani
wamekua
wakichochea
Tukaweza
kuwashinda
Adui
yako
mamaa
Ni
rafiki
yakoo
Nimeona
na
kuskia
mengi
Nimepitishwa
kwa
mitihani
Napanda
shuka
nyingi
Shauri
tuu
nilikupenda
Usisite
site
mpenzi
Kufunga
pingu
za
maisha
Tunda
hili
ni
halali
kwetu
Usikumbwe
kumbwe
na
hofu
Ya
kwamba
ntakuja
kukubwaga
Niko
nawe
mpaka
siku
ya
kifo
Nimekua
nikingoja
Maamuzi
yatoke
kwako
Kwani
ni
wewe
tuu
na
nakupenda
Nimekua
nikijishuku
Kama
labda
sijawahi
kuridhisha
Nilijitolea
siku
zote
Sikubaki
na
chochote
Sijawahi
ata
kukupenda
Usisite
site
mpenzi
Kufunga
pingu
za
maisha
Tunda
hili
ni
halali
kwetu
Usikumbwe
kumbwe
na
hofu
Ya
kwamba
ntakuja
kukubwaga
Niko
nawe
mpaka
siku
ya
kifo
Kifo
kifo
kifo
Niko
nawe
mpaka
siku
ya
kifo
Ni
mimi
na
wewe
Siku
zote
milele
Ni
mimi
na
wewe
Siku
zote
milele
Usisite
site
mpenzi
Kufunga
pingu
za
maisha
Tunda
hili
ni
halali
kwetu
Usikumbwe
kumbwe
na
hofu
Ya
kwamba
ntakuja
kukubwaga
Niko
nawe
mpaka
siku
ya
kifo
Usisite
site
mpenzj
Kufunga
pingu
za
maisha
Tunda
hili
ni
halali
kwetu
Usikumbwe
kumbwe
na
hofu
Ya
kwamba
ntakuja
kukubwaga
Niko
nawe
mpaka
siku
ya
kifo
Ni
mimi
na
wewe
Siku
zote
milele
Ni
mimi
na
wewe
Siku
zote
milele
Milele...
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.