King Kaka - Rail On paroles de chanson

paroles de chanson Rail On - King Kaka



Machozi yangu yote yamalizika aah
Mie nitalala na nani?
Wewe unaenda
Mie mpaka ni mawazo
Mie mpaka ni kuwaza waza,
Wewe unaenda ...unaenda
Kama ile njia yako enda
Kama ni maisha yako fuata
Weee dada .Rail on
Rail on,rail on, rail on
I think that′s the way
(Eeh)
Rail on, (King Kaka...) rail on, rail on
I think that's the way
Ungeniambia from the word Go
Niingie ki′commando
Hii feeling!! Ka trash za Dando
Ungeenda roho safi, ulibaki roho chafu
Kunisentence judge umenichenga ka curfew
Tulikua simple, so lucky doo
Love kindergarten, I was just a kiddo
Unakumbuka,io same same Tuesday
Nilikuambia 'leave' ukachoose Kustay
Na haikuwa vibaya tujuane Chikuzee
Na vile uliring back, nilikuskiza
Tunafahamu kwa love, hakuna giza
Saii niko kwa giza-nacrawl ka Lizard
All this time ni box uliniingiza
Ile laami walinisema, gunia puliza
Kwa bus station, train station
Mummy rail on.
Rail on,rail on, rail on
I think that′s the way
Rail on,rail on, rail on
I think that′s the way
Mummy aje? nijistress ati
Shida yako me siregret I think
Nakumbuka day 2 ulikua so fly
Sijaongelea day 1 nilikua so shy
'Smacking breast′ D kwa chest
Coloured Q-tex,nipe number nitakutext
Uliniturn on Vile ulinikazia
Ni kama ulikua unatembea na kijipazia
Ilikua monday nikakuuliza za weekend
Sikua na topic plus nervous napretend
Nilizima zima source of happiness
Lugha gongana nikakualika party next
Rail on,rail on, rail on
I think that's the way
Rail on,rail on, rail on
I think that′s the way



Writer(s): Kennedy Ombima


King Kaka - It's the King
Album It's the King
date de sortie
28-01-2016




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.