Ke - Mr. Right paroles de chanson

paroles de chanson Mr. Right - Ke



Yoh ah kwani ni kesho?
Yoh, Tano Nane
Yoh M RIGHT yoh
M RIGHT yoh
Ikiharibika nigga si hukuwa tunafix
Na tumeandika hawa ma opp kwenye list
007 tumemiss Mc Squim
Na mean sina side but si hupiga malean
Piga lean, piga lean
Piga lean, piga lean, piga
Cheki right left ukipiga lean
Usishike hadi tenje ikiring
Na mi, mi si carpenter but hupenda kudrill
Ikiharibika nigga si hukuwa tunafix
Na tumeandika hawa ma opp kwenye list
007 tumemiss Mc Squim
Na mean sina side but si hupiga malean
Piga lean, piga lean
Piga lean, piga lean, piga
Cheki right left ukipiga lean
Usishike hadi tenje ikiring
Na mi, mi si carpenter but hupenda kudrill
Uh Tano nane Boom! Aii
Ikiharibika nigga si hukuwa tunafix
Buda unaeza come-ia tips
On name mi naeza flip (Naeza flip)
Ni Nike full steps cheki kicks
Wapoa hawadai kuhang na nyinyi wanadai kuhang na sisi
Hii gang iko strapped na mashada ziko kwa wingi
Kwa drill mi hukuwa jangili thats why mi hupiga mask
Ndo usijue ni mimi
Kila kitu inaenda smooth na inamove ka mashini
Magoon wamejipin matools so usi-act jo vi silly
Kila kitu inaenda smooth na inamove ka mashini
Magoon wamejipin ma, so usi-act jo vi silly
Niliachana na marolls sku izi jo ni ma-quarter key
Tukisnadi jo kwa scene si unajua ni ma double V
VVIP aii nikipiga lean si unajua unafollow me fam
Tukipiga lean si unajua unafollow me fam
Ikiharibika nigga si hukuwa tunafix
Na tumeandika hawa ma opp kwenye list
007 tumemiss Mc Squim
Na mean sina side but si hupiga malean
Piga lean, piga lean
Piga lean, piga lean, piga
Cheki right left ukipiga lean
Usishike hadi tenje ikiring
Na mi, mi si carpenter but hupenda kudrill
Ikiharibika nigga si hukuwa tunafix
Na tumeandika hawa ma opp kwenye list
007 tumemiss Mc Squim
Na mean sina side but si hupiga malean
Piga lean, piga lean
Piga lean, piga lean, piga
Cheki right left ukipiga lean
Usishike hadi tenje ikiring
Na mi, mi si carpenter but hupenda kudrill




Ke - Unlocked
Album Unlocked
date de sortie
02-04-2014




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.