paroles de chanson Nasimama - Lady Jaydee
Aliyepanga
ni
maanani,
Shida
na
riziki
zangu,
Aliyezitupa
gizani,
Shida
na
taabu
zangu
1.
Nasimama
na
mola
kwa
kila
jambo
nilitendalo,
Maneno
ya
watu
bakora
yalinichapa
nikaumia,
Lakini
machozi
machozi
niliyolia
zamani
yashafutika,
Japo
simanzi
majonzi
yamejaa
moyoni
nikikumbuka...
Nishaambiwa
zamani
Kinyago
uchongacho
hakikutishi
ng'o
Ndo
maana
nasimama
na
aliyepanga
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.