Lady Jaydee - Wangu paroles de chanson

paroles de chanson Wangu - Lady Jaydee



Yeaaaa eeii
Uuh huuuh uh
Nananananaa
Nilisha kuwa na wangu
Ila akanitenda
Hakudhamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nilisha kuwa na wangu
Ila akanitenda
Hakudhamini utu wangu
Akaniacha aka enda
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli na chuki hudhihirika ikiwemo utapelli x2 uuh
Moyo ukifa milele huezi kujua
Yupi mkweli yupi mwongo anayekuzingua x2
Nilisha kuwa na wangu
Ila akanitenda
Hakudhamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nilisha kuwa na wangu
Ila akanitenda
Hakudhamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nikabaki naliaa na roho
Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo
Yule fedha huyu mvuto, vishawishi na tamaa, ujana maji ya moto
Huyu mkubwa, yule mdogo, vishawishi na tamaa, ujana maji ya moto
Kesho, usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka kiuvua x2
Nilisha kuwa na wangu
Ila akanitenda
Hakudhamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nilisha kuwa na wangu
Ila akanitenda
Hakudhamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho (uuh nalia na roho)
Nikabaki nalia na moyo(nalia na roho nalia na moyo)
Nikabaki nalia na roho(uuh wee nalia na roho wee)
Nikabaki nalia na moyo
Aaaah
Nilimpa penzi kamjali ka maradhi, malazi, mavazi, makazi_ah ah
Kumbe mshenzi hana hadhi
Bure tu na pandisha ngazi.damn
Nikamweka wazi kwa paparazzi
Nikamleta uswazi kwa wazazi
Kumbe_sina dame naishi na jambazi
Mi, nisipo huku kule kwako wazi
Aargh no
Sitaki tena kuumia moyo
Sitaki tena unione poyoyo
Sitaki hilo penzi la kichoyo
Mi sitaki mifupa, mi kibogoyo
Nataka vile vitu laini, no money, no honey nmebaini... wee
Kwa nini naumia kila saa wakati penzi lako haliendi bila ya chapaa... huh!!
Nilisha kuwa na wangu
Ila akanitenda
Hakudhamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nilisha kuwa na wangu
Ila akanitenda
Hakudhamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho(uuh nalia na royo nalia na moyo)
Nikabaki nalia na moyo(uuh nalia na roho nalia na moyo)
Nikabaki nalia na roho(uuh wee nalia na roho)
Nikabaki nalia na moyo
Yeeaaaaiiiii




Lady Jaydee - Siku Hazigandi
Album Siku Hazigandi
date de sortie
17-04-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.