paroles de chanson Bado Sana - Lava Lava , Diamond Platnumz
Bado,
bado
sana
Bado,
bado
sana
Bado,
bado
sana
Bado,
bado
sana
(Mr
LG)
Ngoja
kwanza
nidange
dange
Mambo
ya
kuwa
na
mpenzi
(Bado
sana)
Nimezoea
kwa
Mpalange
Eti
unipeleka
Mbezi
(Bado
sana)
Kutega
unatega
Ila
kupata
masponsor
(Bado
sana)
Tatizo
nje
shega
Ila
ndani
kujiosha
(Bado
sana)
We
ngwesa
wa
kukaya
Hebu
kuwa
na
haya
(Bado
sana)
Tulikutoa
Sigimbi
Leo
unajiona
wa
Ulaya
(Bado
sana)
Ka
mnasepa
sepeni
Mi
kurudi
nyumbani
(Bado
sana)
Ka
mnakesha
kesheni
Tingiza
ka
imeisha
(Bado
sana)
Bado,
bado
sana
Bado,
bado
sana
Nauliza
mmechoka?
(Bado)
Mmechoka?
(Bado
sana)
Wanangu
mmechoka?
(Bado)
Mmechoka?
(Bado
sana)
Aii!
Hako
kamacho
matatu
Usijione
bosi
(Bado
sana)
Ukajishebedua
Kutuletea
mapozi
(Bado
sana)
Kwa
vipya
vitatu
Ndo
eti
uning'oe
(Bado
sana)
Niache
kula
bata
Eti
simba
uoe
(Bado
sana)
Wanasubiria
(Bado)
Ndangote
kufulia
(Bado
sana)
Vinyimbo
wataimba
Ila
wee
kunifikia
(Bado
sana)
Ati
kisa
kigari
ndo
hawatusalimii
Achaaaa!
Ndio
maana
dem
wake
wanamnanii
Aiyayayaya!
Mjomba
Chumali
kachinja
mang'ombe
Yaani
zidi
kwa
kiti
(Acha
bwana)
Cha
ajabu
kazidi
ubonge
Ila
kwenye
mziki
(Bado
sana)
Ka
mnasepa
sepeni
Mi
kurudi
nyumbani
(Bado
sana)
Ka
kukesha
tukesheni
Au
mizuka
imekwisha
(Bado
sana)
Bado,
bado
sana
Bado,
bado
sana
Nauliza
mmechoka?
(Bado)
Mmechoka?
(Bado
sana)
Wanangu
mmechoka?
(Bado)
Mmechoka
Haya
tumpeleke
msobe
msobe
Wanangu
msobe
msobe
Tumpeleke
msobe
msobe
Aah
msobe
msobe
Eeh
kushoto,
msobe
msobe
Kulia,
msobe
msobe
Twende
kwa
mbele,
msobe
msobe
Aiii
kwa
nyuma
Wanangu
nawarudisha
utotoni
(Wapi?)
Kule
utotoni
(Wapi?)
Niwapeleke
utotoni
(Wapi?)
Kule
utotoni
(Wapi?)
Sa
twende
(Yesa
yesa
yesa
yesa
yeee)
Yesa
tena
(Yesa
yesa
yesa
yesa
yeee)
Bado
kidogo
(Yesa
yesa
yesa
yesa
yeee)
Aah
ya
mwisho
(Yesa
yesa
yesa
yesa
yeee)
(Kamix
Lizer)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.