Lulu Diva - Utamu paroles de chanson

paroles de chanson Utamu - Lulu Diva



Sexy lulu diva
Kama kalamu wachongee
Niwamezeshe vidongee
Waseme yote hadharaanii
Yaliyo jificha chumbaani
Ya gengeni mpaka visimaani
Mkichoka mkaketi kibarazaani
Tena mengi wanisemee (ooh waniseme)
Eti mzito mnenee (ooh mnene)
Kapenda langu sebene (ooh sebene)
Kanipa ndizi senene (ooh senene)
We unadanga kisa ofa (ebu kunywa ulwewe)
Hadi maji unakopa (msosiwa kengele)
Umezoea kuropoka (ebu kunywa ulewe)
Hadi maji unakopa (msosiwa kengele)
Nenda utambike mizimu
Uombe kwenu mpaka kuzimu
Maluweluwe mwendawazimu
Unadogoli wala cha simu
Nikipata matatizoo ooh oh, mungu hatoi likizo ooh oh
Ila mwenzako (haniachi ooh aniachi)×2
Tena mengi waniseme (ooh waniseme)
Eti mzito mnene (ooh mnene)
Kapenda langu sebene (ooh sebene)
Kanipa ndizi senene (ooh senene)
We unadanga kisa ofa (ebu kunywa ulewe)
Hadi maji unakopa (msosiwa kengele)
Umezoea kuropoka (ube kunywa ulewe)
Hadi maji unakopa (msosiwa kengele)
(Eeh eh he)×4
(Akikenua utamu, akimanua utamu, akinyanyua utamu, akimwagia utamu)×2



Writer(s): Lulu Diva


Lulu Diva - Utamu
Album Utamu
date de sortie
17-06-2017

1 Utamu




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.