Lulu Diva feat. Rich Mavoko - Ona paroles de chanson

paroles de chanson Ona - Rich Mavoko , Lulu Diva



Moyo si ungebaki nao, nifanye kivuli
Ruksa tu nichote nyayo, unifunge nitulie tuli
(Ooh) Mwa fulani anauliza umenipa nini
(Ooh) Kwa udi na ubani nimekula ya mimi
Wanaonitamani wapo (aah) ila sijaona
Nakupenda peke yako (maana) mapenzi nimekoma
Kama kipofu mi sioni
Uchungu wa mapenzi unakaba koo
Usitukane mamba mtoni
Umenipa yote naomba poo (baby)
Ona sasa ona, ona sasa ona
Ona sasa ona, ona sasa ona
Ona sasa ona, ona sasa ona
I swear believe me girl
Umenikata kichwa nimebaki kiwiliwili
Niongeze ulichonipa
Kita kwa mshipa utibuwe makili kili
Mpaka juu wananing′inia
Ukirudi chini nadidimia
Usinipe penzi makinikia
Mi kwako nishaoza nishajifia
Nimekuwa mlevi wa penzi lako ongeza nilewe
Mwambie mganga wako kaniweza kwa kwe(li)
Sioni maneno ya watu kwangu kama choo
Mtoto kama chumvi jikoni
Nilipokuonja nikaomba pooo
Ona sasa ona, ona sasa ona
Ona sasa ona, ona sasa ona
Ona sasa ona, ona sasa ona
I say babe simamia (kidede)
Tena ng'ang′ania (kidede)
Vyote nabugia (kidede)
Huku naugulia (kidede)
Nipe hata kimoja (kidede)
Nisamimie ukucha (kidede)
Mtamu kama embe za kibada (kidede)
Mbuzi kafa kwa bucha (kidede)




Lulu Diva feat. Rich Mavoko - Ona
Album Ona
date de sortie
19-05-2018

1 Ona



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.