paroles de chanson Amezoea - Lulu Diva
Chupa
hung'ati
kwa
meno
Naomba
akupe
salama
Domo
kama
msumeno
Ya
nani
huyafahamu
Tena
fundi
wa
methali,
kwenye
kaanga
Gumanishi
machachali
kila
kaanda
Ana
mapepe
mwenzenu
mpe
peni
Katumwa
pete,
kaleta
licheni
Kali
kama
cheche,
hushinda
vijiweni
Bingwa
wa
mikweche,
jamvi
la
wageni
Tena
kijino
pembe
(amezoeaaa)
Ni
hodari
wa
kuwanga
Si
shilingi
wala
mwenge
Vunja
nazi
njia
panda
Waje
na
matarumbeta
tumchambe
Kigoda
leta
mkeka
tumchambeee
Vijicho
vyatetemeka
tumchambe
Mwenye
nyama
za
kunenepa
tumchambee
Cha
kwazima
hakisitiri,
Wako
mwili
Ungeghairi
tusingejadili
Wapanga
mipango
na
shoga
zako
Ati
mi
natembea
na
danga
lako
Wambie
mi
si
saizi
yako
We
skuna
rafiki
wako
koko
Ugomvi
kutwa
njiani
kama
jogoo
Wanaume
hawakutamani
una
kasoro
Ana
mapepe
mwenzenu
mpe
peni
Katumwa
pete,
kaleta
licheni
Kali
kama
cheche,
hushinda
vijiweni
Bingwa
wa
mikweche,
jamvi
la
wageni
Tena
kijino
pembe
(amezoeaaa)
Ni
hodari
wa
kuwanga
Si
shilingi
wala
mwenge
Vunja
nazi
njia
panda
Waje
na
matarumbeta
tumchambe
Kigoda
leta
mkeka
tumchambeee
Vijicho
vyatetemeka
tumchambe
Mwenye
nyama
za
kunenepa
tumchambee
Babu
jongo
piga
daku
Oooh
piga
daku
Abby
dady
piga
daku
Oohh
piga
daku
Babu
jumbe
piga
daku
Oooh
piga
daku
Chausiku
piga
daku
oooh
piga
daku
Mwamtumu
piga
daku
Oooh
piga
daku
End
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.