paroles de chanson Hauna Maajabu - Lulu Diva
Unatutambia
wakati
shemeji
yetu
anatuambia
Hauna
maajabu!
Unataka
bia
wakikutoa
out
unasinzia
Hauna
maajabu!
Tulishabwaganaga
lakini
bado
unaniongelea
Hauna
maajabu!
Unagandaganda
watu
kama
series
za
kikorea
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu
mama,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu
baba
eh,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Hauna
ba-ba-ba-ba-ba-ba-ba,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu
eeh,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Miuno
mingi
ukiwa
klabu
ukirudi
ndani
Hauna
maajabu!
Dada
wa
mjini
kutwa
unadanga
unalala
chini
Hauna
maajabu!
Nawe
jomba
unapewa
bure
kufika
magetoni
Hauna
maajabu!
Noma
sana
bebe
kaagiza
kucheki
mfukoni
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu
mama,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu
baba
eh,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Hauna
ba-ba-ba-ba-ba-ba-ba,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu
eeh,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Pisi
kali
una
sera
nzuri
ukigeuka
nyuma
Hauna
maajabu!
Huna
hela
unashinda
gym
kubeba
mavyuma
Hauna
maajabu!
Hauwezi
kuposti
bila
filta
coz
unajijua
Hauna
maajabu!
Wakikudosoa
wanapita
si
wanakujua
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu
mama,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu
baba
eh,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Hauna
ba-ba-ba-ba-ba-ba-ba,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu
eeh,
hauna
maajabu
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu!
Hauna
maajabu!
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.