paroles de chanson My Call - M.O.G.
Nilipata
barua
kutoka
kwa
mama
Anasema
nitume
mgwanja
Anasema
baba
mlevi
tena
sana
amekuwa
kicheko
cha
majarani
Na
anataka
nitume
pesa
Anataka
nitume
haraka
maanake
mashida
zinawabana
Mama
natafuta
tafuta
tafuta
mwambie
mwambie
mwambie
Mama
natafuta
tafuta
tafuta
mwambie
mwambie
mwambie
Yeah
mwambie
mwambie
mwambie
natafuta
natafuta
Mwambie
mwambie
mwambie
natafuta
natafuta
mama
Mwambie
mwambie
mwambie
natafuta
natafuta
Niliskia
umepata
barua
kutoka
kwa
mama
Ikisema
kuhusu
shida
nyumbani
inavyowakumba
eeh
Kama
ni
pesa
wasakanya
kama
ni
mradi
we
sukuma
bora
usimlenge
mama
eeh
Kama
ni
pesa
wasakanya
kama
ni
mradi
we
sukuma
nyumbani
anakungoja
mama
Aisee
dasta
piga
mlango
linda
randa
piga
ata
kama
ni
kugumu
yote
kazi
mradi
nyumbani
upeleke
pesa.
Nitakupa
kidogo
nibaki
na
kidogo
siku
nazo
'songe
mdogo
mdogo
usiende
mbali
Nitakupa
kidogo
nibaki
na
kidogo
siku
nazo
'songe
mdogo
mdogo
usiende
mbali
Mwambie
mwambie
mwambie
natafuta
natafuta
Mwambie
mwambie
mwambie
natafuta
natafuta
mama
Mwambie
mwambie
mwambie
natafuta
natafuta
Nyumbani
wanalia
lia
aahhh
huku
wewe
watafuta
brother
Nyumbani
wanalia
lia
aahhh
huku
wewe
watafuta
brother
Nitakupa
kidogo
wabaki
na
kidogo
siku
nazo
'songe
mdogo
mdogo
usijali
mama
Mwambie
mwambie
mwambie
natafuta
natafuta
yeah
Mwambie
mwambie
mwambie
natafuta
natafuta
mama
(Usijali
wewe
mama
anatafuta)
Mwambie
mwambie
mwambie
natafuta
natafuta
(Usijikalie
we
mama
anakuombea
we)
Usijali
we
mama
anatafuta
we
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.