Mabantu - Utamu (feat. Harmonize) [Remix] paroles de chanson

paroles de chanson Utamu (feat. Harmonize) [Remix] - Mabantu



(Unapunguza Utamu)
Yaowao
(Unapunguza Utamu)
Si wanapenda kubang
(Unapunguza Utamu)
Kwaji boy ni muhubiri wengi tumeshakiri, ila kama umechanja siri siri
(Unapunguza Utamu)
Oya! Bora uchili usinipe hata dili kama pigo zako za kabwili
(Unapunguza Utamu)
Acheni machawa waonge, so wakiteleza mnawaita mafala
(Unapunguza Utamu)
Na sio lazima uonge niko na Priano unaniuliza Kajala
(Unapunguza Utamu)
Oya! Wanangu wa Dar es salaam
Eeeh!
Kama vipi teacher afikishe salamu
Eeeh!
Hivi Kuna watakao niponda nikiongea na Mama aturudishie Makonda
(Unapunguza Utamu)
Yeah! Mpaka kuche tomorrow mi nimetenda shame nikikuta kigodoro
(Unapunguza Utamu)
Mpaka kuche tomorrow mi nimetenda shame nikikuta kigodoro
(Unapunguza Utamu)
Waiter lete money
(Unapunguza Utamu)
Usipoleta money
(Unapunguza Utamu)
Wenyechuki acha wakonde
(Unapunguza Utamu)
Hili Goma la mabantu na teacher konde
(Unapunguza Utamu)
Usipunguze speed
(Unapunguza Utamu)
Ukipunguza speed
(Unapunguza Utamu)
Kanyaga weka speed
(Unapunguza Utamu)
Mpaka mwisho wa speed
(Unapunguza Utamu)
Dj ongeza sauti alafu punguza scratch, hizo mbwembwe zako zinatukataa
(Unapunguza Utamu)
Alafu boss kama unaagiza agiza kreti mambo ya kuagizaga moja moja
(Unapunguza Utamu)
Niaje madam kama unanipa we nipe sijakataa ukimwi upo ila kondom
(Unapunguza Utamu)
Alafu dada kama unakatika kata mambo ya kusema nisikubambie
(Unapunguza Utamu)
Utatuambiaje sisi mapopo
Eeeh
Kila siku tunalala kesho
Eeeh
Oya wahuni wote pepo
Eeeh
Na wadangaji wote pepo
Eeeh
Mi dada nikifika ghetto
Mimi zagamua no mambo ya kusema nisubiri baadae
(Unapunguza Utamu)
Kama shoo piga shoo, zile mambo baby una-enjoy au unajisikiaje
(Unapunguza Utamu)
Waiter leta gambe
(Unapunguza Utamu)
Ongeza gambe
(Unapunguza Utamu)
Aaah!
(Unapunguza Utamu)
Gaambe
(Unapunguza Utamu)
Usipunguze speed
(Unapunguza Utamu)
Ukipunguza speed
(Unapunguza Utamu)
Kanyaga weka speed
(Unapunguza Utamu)
Mpaka mwisho wa speed
(Unapunguza Utamu)
Yeah! Mpaka kuche tomorrow mi nimetenda shame nikikuta kigodoro
(Unapunguza Utamu)
Mpaka kuche tomorrow mi nimetenda shame nikikuta kigodoro
(Unapunguza Utamu)
Get you B




Mabantu - Utamu (Remix) [feat. Harmonize] - Single
Album Utamu (Remix) [feat. Harmonize] - Single
date de sortie
13-12-2021



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.