Paroles et traduction Marioo - Aya
Добавлять перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Ndo
kusema
kwamba
nina
bahati
mbaya
Should
I
say
I'm
unlucky
Ama
ni
nyota
imefifia
ah
Or
are
my
stars
twinkling
no
more
Maana
sio
kweli
Because
it's
not
true
Kila
siku
mimi
ndo
naumia
Every
day
I
keep
getting
hurt
Ndo
kusema
kwamba
sura
yangu
mbaya
Should
I
say
my
face
is
ugly
Haina
hulka
ya
kuvutia
ah
That
it
lacks
the
features
of
attraction
Maana
sio
kweli
Because
it's
not
true
Kila
siku
mimi
ndo
naumia
Every
day
I
keep
getting
hurt
Ina
maana
penzi
lingekuwa
chombo
cha
usafiri
If
love
were
a
bus
Ningekosa
hata
sehemu
ya
kusimama
I
wouldn't
even
have
space
to
stand
Ningewezaje?
Nitawezaje?
How
could
I?
How
can
I?
Au
labda
mapenzi
Or
maybe
love
Hufaa
kwa
matajiri
Is
only
for
the
rich
Alafu
mi
hapa
sina
maana
Because
I
don't
matter
here
Sa
nitaanzaje?
Nitaanzaaje?
So
how
do
I
begin?
How
can
I?
Inawezekanaje
nikose
kufurahi
How
come
I
can't
find
joy
Siku
zote
ninazoishi
na
uhai
In
all
the
days
that
I'm
alive
Najua
Mungu
hapendi
I
know
God
doesn't
like
it
Walimwengu
mna
visa
You
lot
have
issues
Nikisema
niage
nitakuwa
najilaghai
If
I
say
I'll
quit,
I'll
be
lying
to
myself
Moyo
utakuwa
bado
unanidai
My
heart
will
still
be
demanding
Acha
niweke
imani
Let
me
have
faith
Ipo
siku
nitaridhishwa
One
day
I'll
find
satisfaction
Na
sinacho
maanisha
mnakijua
And
you
know
what
I
mean
Kuyakosa
mapenzi
inanitesa
It
tortures
me,
the
lack
of
love
Sawa
nakua
nayaona
Alright,
I
see
it
now
Sa
mbona
yananizidia?
But
why
does
it
hurt
so
bad?
Hivi
nacho
maanisha
mnakijua?
Do
you
understand
what
I
mean?
Upweke
unanitesa
Loneliness
tortures
me
Halafu
nakuwa
nawaona
And
then
I
see
you
all
Wengine
wanaenjoy
(aah!)
Some
of
you
are
enjoying
it
(aah!)
Ingekuwa
gambe
If
it
were
weed
Ndio
dawa
ya
mawazo
That
is
the
answer
to
my
problems
Ningekunywa
nilewe
I'd
drink
until
I'm
drunk
Aah
nilewe,
nilewe
Aah,
drunk,
drunk
Inawezekanaje
nikose
kufurahi
How
come
I
can't
find
joy
Siku
zote
ninazoishi
na
uhai
In
all
the
days
that
I'm
alive
Najua
Mungu
hapendi
I
know
God
doesn't
like
it
Walimwengu
mna
visa
You
lot
have
issues
Nikisema
niage
nitakuwa
najilaghai
If
I
say
I'll
quit,
I'll
be
lying
to
myself
Moyo
utakuwa
bado
unanidai
My
heart
will
still
be
demanding
Acha
niweke
imani
Let
me
have
faith
Ipo
siku
nitaridhishwa
One
day
I'll
find
satisfaction
MoccoGenius!
MoccoGenius!
Évaluez la traduction
Seuls les utilisateurs enregistrés peuvent évaluer les traductions.
Writer(s): Omary Ally, Omary Ally Marioo, Omary Ally Mwanga
Album
Aya
date de sortie
05-02-2020
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.