paroles de chanson Aya - Marioo
Mmmh,
mmmmh
Uwooo
yeiye
(Mocco)
Mmmh,
mmmmh
Ndo
kusema
kwamba
nina
bahati
mbaya
Ama
ni
nyota
imefifia
ah
Maana
sio
kweli
Kila
siku
mimi
ndo
naumia
Ndo
kusema
kwamba
sura
yangu
mbaya
Haina
hulka
ya
kuvutia
ah
Maana
sio
kweli
Kila
siku
mimi
ndo
naumia
Ina
maana
penzi
lingekuwa
chombo
cha
usafiri
Ningekosa
hata
sehemu
ya
kusimama
Ningewezaje?
Nitawezaje?
Au
labda
mapenzi
Hufaa
kwa
matajiri
Alafu
mi
hapa
sina
maana
Sa
nitaanzaje?
Nitaanzaaje?
Inawezekanaje
nikose
kufurahi
Siku
zote
ninazoishi
na
uhai
Najua
Mungu
hapendi
Walimwengu
mna
visa
Nikisema
niage
nitakuwa
najilaghai
Moyo
utakuwa
bado
unanidai
Acha
niweke
imani
Ipo
siku
nitaridhishwa
Aya!
Aya!
Aya!
Aya!
Na
sinacho
maanisha
mnakijua
Kuyakosa
mapenzi
inanitesa
Sawa
nakua
nayaona
Sa
mbona
yananizidia?
Hivi
nacho
maanisha
mnakijua?
Upweke
unanitesa
Halafu
nakuwa
nawaona
Wengine
wanaenjoy
(aah!)
Ingekuwa
gambe
Ndio
dawa
ya
mawazo
Ningekunywa
nilewe
Aah
nilewe,
nilewe
Inawezekanaje
nikose
kufurahi
Siku
zote
ninazoishi
na
uhai
Najua
Mungu
hapendi
Walimwengu
mna
visa
Nikisema
niage
nitakuwa
najilaghai
Moyo
utakuwa
bado
unanidai
Acha
niweke
imani
Ipo
siku
nitaridhishwa
Aya!
Aya!
Aya!
Aya!
MoccoGenius!
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.