paroles de chanson Unanionea - Marioo
Hivi
kweli
yupo
Mwenye
roho
mbaya
kukushinda
Maana
mi
sijaona
Duniani
Hivi
kweli
yupo
Aso
na
haya
kukushinda
Maana
mie
sijaona
sijaona
We
mtu
gani
uko
radhi
Mwenzako
ateketee
Wakati
unajua
dawa
yake
Ni
kumponya,
nihurumie
Ama
mtu
gani
aliefika
Akaongeza
makeke
Na
wakati
anajua
Mi
kwako
ndo
napona,
we
nihurumie
Mi
najua
mapenzi
Sio
kwichi
kwichi
tu
Yanayonogaga
mazoea
Nimekuzoea
mmmh
Unanionea,
mwenzako
siwezi
matukio
mazito
Unanionea,
unanipiga
mie
Unanionea,
unafanya
niamini
mapenzi
mabaya
Unanionea,
lalalaa
mmmmh
Na
kama
kuachana
nakubali
Sawa
fanya
yako
Ila
sio
lazima
unionyeshe
uniumize
Au
kisa
unajua
Unaniacha
bado
nakuhitaji
Ndo
unaona
bora
unikomeshe
Unilize
eeeh
Ah
poa
poa,
nishajua
vya
utamu
Vinakuwaga
vya
uchungu
Ili
doa
doa
milima
haikutani
Japo
najua
mapenzi
Sio
kwichi
kwichi
tu
Yanayonogaga
mazoea
Nimekuzoea
mmmh
Unanionea,
mwenzako
siwezi
matukio
mazito
Unanionea,
unanipiga
mie
Unanionea,
unafanya
niamini
mapenzi
mabaya
Unanionea,
lalalaa
Unanionea,
unanionea
bure
Hata
Bonga
anajua
unanionea
Chino
anajua,
unanionea
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.