paroles de chanson Ya Uchungu - Marioo
Wakisema
tutaachana
ongeza
nipenda
zaidi
ya
jana
Wakitamani
tuuzunike
tufanye
sherehe
Baby
nipe
tena
kama
jana
Wanatamani
yanibubujike
Ukintenda
kiutani
utani
utaniua
eeeh
Mi
juu
yako
nshatamba
sana
ntaambia
nini
watu
Weh
ndo
faraja
maishani
usiniue
eeeh
Milele
kufa
kuzikana
nishachora
tattoo
Hata
ukiniacha
usifanye
ukatoka
na
kina
nanii
eeeh
Ntaificha
wapi
sura
utanitia
doa
Hata
ukiniacha
vya
ndani
vibaki
siri
weh
na
me
eeeh
Ntaiweka
wapi
sura
ntaiona
dunia
Ya
uchungu
Ya
uchungu
Ya
uchungu
Ya
uchungu
Achana
na
mapaka
shume
wataponza
uchomoe
Wasije
wakakufunza
unikomoe
Wala
hawatokuwa
na
maana
lengo
penzi
walibomoe
eeh
Lazizi
weeh
Basi
fanya
usinibiboe
Maana
moyo
wangu
utaumia
utaumiaaa
aah
Afu
nafsi
yangu
itajutia
itajutiaa
Hata
ukiniacha
usifanye
ukatoka
na
kina
nanii
eeeh
Ntaificha
wapi
sura
utanitia
doa
Hata
ukiniacha
vya
ndani
vibaki
siri
weh
na
me
eeeh
Ntaiweka
wapi
sura
ntaiona
dunia
Ya
uchungu
Ukiondoka
ukiniacha
mwenzako
ntaumiaa
Ya
uchungu
Litanilemea
litaniuma
sana
Ya
uchungu
Maradhi
ya
mapenzi
nnayo
yanaumiza
Ya
uchungu
Mwenzako
aaah
eeh
eehh
Mwenzako
napenda
napenda
vibaya
Ukiniacha
nitaumia
Ukiondoka
ntaumia
Itaniumaa
Itaniuma
Ukiondoka
ntaumia
Itaniumaa
Itaniuma

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.