paroles de chanson Sare - Masauti
Masauti...
Oooh...
Kenyan
boy
Baby
me
na
wewe
sare
sare
Sare
sare
sare
Tunafanana
sare
sare
Sare
sare
sare
Nakukabidhi
moyo
wangu,
Moyo
wangu,
mama
unitunzie
Eeh
malkia
wa
penzi
langu,
Fahari
yangu
Manyaku
wasikunyakue
Eeh
wanijua
mwenyewe,
Mtundu
kitandani
nielewe
Mpaka
chumbani
sitaki
uchelewe
Ili
tu
niwe
Na
wewe
Oooh
my
beiby
nishobeze
Zidisha
penzi
hadi
nilewe
Taratibu
Basi
nikoleze
Hadi
nikoleee
Umenifanya
zuzu
umenikoroga
Nimebana
Kwako
mimi
siwezi
toka
Kabisa
nimeganda,
Nimeganda
Hata
wakisema
umeniroga
Kwako
kamwe
mimi
siwezi
toka
Kabisa
Nimeganda,
nimeganda
Baby
me
na
wewe
sare
(sare)
Sare
sare
(sare)
Tunafanana
sare(sare)
Sare
sare
Baby
me
na
wewe
sare
(sare)
Sare!
Sare!
(sare)
Tunafanana
sare(sare)
Sare!
Sare!
Kila
niamkapo
sura
yako
ndio
naitazama(aaah
eeeh)
Ukicheka
shavuni
Dimple,
mtoto
sauti
kinanda(aaah
eeeh)
Nataka
na
penzi
lako
kitaani
Mimi
navimbaga(aaah
eeeh)
Kwa
shepu
na
kumaku
macho
podoo,
Wana
hata
la
kusema
oooh
Yaani
toto
la
kishua,
Unavyonizuzua
Ndio
maana
ukinipa
mimi
sikinaaai
(eeh!
Sikinai)
You
bust
my
medulla,
Unavyo
sasambua
Mi
nikiwa
nawe
najidaii(eeh
najidai)
Umenifanya
zuzu
Umenikoroga
Nimebana
kwako
mimi
siwezi
toka
Kabisa
nimeganda,
Nimeganda
Hata
wakisema
umeniroga
Kwako
kamwe
mimi
Siwezi
toka
Kabisa
nimeganda,
nimeganda
Oooh
beiby...
Baby
me
na
wewe
sare
(sare)
Sare
sare
(sare)
Tunafanana
sare(sare)
Sare
sare
Baby
me
na
wewe
sare
(sare)
Sare!
Sare!
(sare)
Tunafanana
sare(sare)
Sare!
Sare!
1 Kiboko Remix
2 Kiboko
3 Nurulain
4 Sare
5 Mayonli Lova
6 Gaga
7 Roll It Up
8 Nairobian Lova
9 Sawa
10 Usikate Tamaa
11 Niwe Nawe
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.