paroles de chanson Nioneshe - Maua Sama
Oooh
beiby,
Ukinigusa
nyang'a
nyang'a
Mwenzako
sijiwezi
Mi
kipofu
napapasa
juu
yako
Nahisi
hakuna
amani
Nisipokuona
nyumbani
Moyo
unajawa
tafarani
Kwichi
kwichi
chumbani
Haziishi
kichwani
Hasa
pale
ukiwa
mbali
nami
Chochea
kuni
kwa
kishindo
Jiko
lako
ni
mimi
Unipe
joto
joto
kwenye
baridi
Nitang'ang'ana
nawe
nitabaki
nawe
Sitokuacha
mpweke
Shika
ishikilie,
usiniache
mimi
Chunga
wasiniteke
Honey
mi
kwako
nazi
mbata
Nitafune
unavyotaka
Kiuno
si
dimba
chakacha
Serebuka
unavyotaka
eeiii
Nioneshe,
niweke
tepetepe
(nibonye
bonye
beiby)
Nioneshe,
niweke
tepetepe
(lover)
Nioneshe,
niweke
tepetepe
(nibebebe
bebe)
Nioneshe,
niweke
tepetepe
(I
swear
me
love
you
too)
Napenda
ukinichombeza
Umeniweza
nipe
ndoa,
nichangie
na
damu
Mi
ndo
ukinichombeza
Ukinigusa
mi
nalowa,
usiniache
wa
ubani
Ndi
ndi
ndi
Kisho
unitafune
mbilimbi
eeh
Na
bao
la
ushindi
Mchezaji
chake
kigimbi
eeh
Roho
zinawauma
eeh
(wauma
eeh)
Mimi
kuwa
na
wewe
Zinawauma
eeh
Mimi
kuwa
na
wewe
Nitang'ang'ana
nawe
nitabaki
nawe
Sitokuacha
mpweke
Shika
ishikilie,
usiniache
mimi
Chunga
wasiniteke
Hunny
mi
kwako
nazi
mbata
Nitafune
unavyotaka
Kiuno
si
dimba
chakacha
Serebuka
unavyotaka
eeiii
Nioneshe,
niweke
tepetepe
(nibonye
bonye
beiby)
Nioneshe,
niweke
tepetepe
(lover)
Nioneshe,
niweke
tepetepe
(nibebebe
bebe)
Nioneshe,
niweke
tepetepe
(I
swear
me
love
you
too)
Uuuh
lalala,
ohaaa
Uuuh
lalala,
ohaaa
(The
Mix
Killer)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.