Maua Sama - Niteke paroles de chanson

paroles de chanson Niteke - Maua Sama



Kwako tetere nishazubaa
Nipe mchele, usinipe chuyaa
Uwache pele, tuliza pupa, ooh oooh
Usije ukaniua titiri, oooh
Oooh nishakupa vyote vyako (ooh lalala)
Mautam mamnato (ooh lalala)
Niteke (mateka niteke)
Niteke (niteke teke niteke)
Niteke teke (mateka niteke)
Niteke (oooh)
Zidisha unyama
Nyama kwa nyama
Zidisha unyama
Nyama kwa nyama
Uma fitimbi biti kimumunya pipi
Utamu wa kisiginoni
Nichikiche nichikichi
Na shavu njikitile
Unakesha kilindoni
Nitwange nipepete
Nisage nichekeche
Nikande niumuke
Kilima nipandishe
Kibinda nkoi nkoi (aaee eeh)
Kiwinda pori pori (aaee)
Naringa dori dori (aaee eeh)
Nawe imba chori chori
Niteke (mateka niteke)
Niteke (niteke teke niteke)
Niteke teke (mateka niteke)
Niteke (ooooh)
Zidisha unyama
Nyama kwa nyama
Zidisha unyama
Nyama kwa nyama
Mateka niteke
Niteke teke niteke
Mateka niteke
Ooooh...
Nyama kwa nyama



Writer(s): Maua Sama


Maua Sama - Niteke
Album Niteke
date de sortie
05-09-2019

1 Niteke




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.