paroles de chanson Wivu (feat. Aslay) - Maua Sama , Aslay
Vimambo
vyangu
natupa
kule
Sinegeng'eneki
nikafa
bure
Kwako
ni
mfu
msukule
Kwa
baby
yake
piga
kelele
Mi
hali
yangu
mbona
shwari
baby
wee
Niko
jikoni
nasonga
ugali
Uje
ule
baba
we
Roho
yangu
safi
Mungu
kanipa
Ninachotaka
kwa
wakati
na,
Enjoy
Sitaki
kuwa
Mswati
nimeridhika
Michepuko
na
Mwendokasi
bye
bye
Mpaka
naunguza
mboga
Ayo
maneno
yako
yalivyokuwa
matam
Nahisi
kuwa
muoga
maana
nina
wivu
Na
ndo
ushanshika
patamu
Wanajua
tunavyopendana
Mi
nawe
wanaona
wivu
Ah
tunavyopendana
Wanajua
tunavyopendana
Mi
nawe
wanaona
wivu
Ah
tunavyopendana
Wanajua
nilivyoshibana
nawe
Ndo
mana
wanaona
wivu
Tunavyopendana
oh
oh
oh
Wanajua
tunavyopendana
Me
na
we
wanaona
wivu
Tunavyopendana
Ntafuga
kijini
nkuroge
usitoke
yani
Uwe
na
Mimi
tu
ndani
Uwe
na
mimi
mwandani
aii
wewe
Nshakolea
penzi
me
nipo
mahabani
Sipingi
sibishani
We
ndo
wakwangu
Mimi
nielewee
Uzuri
hutaki
pochi,
hutaki
noti
Na
sishushi
bendera
ikawa
nusu
mlingoti
Benzema
Mess
pasi
kwa
pasi
mi
na
wewe
Mpaka
naunguza
mboga
Ayo
maneno
yako
yalivyokuwa
matamu
Nahisi
kuwa
muoga
maana
nna
wivu
Na
ndo
ushanshika
patamu
Wanajua
tunavyopendana
Mi
nawe
wanaona
wivu
Ah
tunavyopendana
Wanajua
tunavyopendana
Mi
nawe
wanaona
wivu
Ah
tunavyopendana
Wanajua
nilivyoshibana
nawe
Ndo
mana
wanaona
wivu
Tunavyopendana
oh
oh
oh
Wanajua
tunavyopendana
Me
na
we
wanaona
wivu
Tunavyopendana
oh
Tunavyopendana
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.