Maua Sama feat. Ben Pol - Amen paroles de chanson

paroles de chanson Amen - Maua Sama , Ben Pol



Aaaah aah aah
Aaah aaah aaah yeah
Aaaah aah aah
Aaah aaah aaah yeah (abbah)
Babe wajua
Leo nina furaha baby eee
And you is all I want
And I don't need someone else baby eeh
Nipe nipende kipekee
Nitunze kwa moyo wote
Nami mapenzi nikupe
Sikuachie hata sekunde
Na hisia zangu zakuita
Uingie moyoni
Nawe uwe mwanga wanga kumulika
Unitoe gizani
Kwasababu niwe eeh tu
Niwe ehe tu
Nimpendae niwe ee tu
Oooh daily
Kwasababu niwewe tu
Niwewe tu (niwewe tu)
Nimpendae niwewe tu
Wife
Atubariki amen eeh (amen eeh)
Na atulinde amen eeh (amen eeh)
Atuongoze amen eeh (amen eeh)
Milele yote amen eeh (amen eeh)
Wote tuseme amen eeh (amen eeh)
Walidhani siikufai
Leo wanashanga
Ni siku yetu my baby
Ndoto imekua
Hata familia
Wanafurahi my baby
Vile umeniwahi
Kote wanikaa
Shingoni kama tai (Taii taii eh)
Na leo najidai
Heshima ulinipa
Ya kuwa mwenzi wako milele
Daima (mama wee)
Ntakulinda (mama wee)
Sina sababu, (mama wee)
Yakukutenda
Moyo wangu ni wako
Nimekukabidhi pekee yako (wewe)
Fungua wa kwako
Nifuranchie pendo lako
Na hisia zangu zakuite
Uingie moyoni
Nawe uwe mwanga kumulika
Unitoe gizani
Kwasababu niwe eeh tu
Niwe eehe tu
Nimpendae niwe ee tu
Oooh daily
Kwasababu niwewe tu
Niwewe tu
Nimpendae niwewe tu
Wife
Atubariki amen eeh (amen eeh)
Na atulide amen eeh (amen eeh)
Atuongoze amen eeh (amen eeh)
Milele yote amen eeh (amen eeh)
Wote tuseme amen eeh (amen eeh)
The mix killer
(Baby minawe eeh eeh)
Ooh baby (amen eeh)
Hooo babe (Abbah)



Writer(s): Arthur Jenkins, Johnny Nash


Maua Sama feat. Ben Pol - Sisikii
Album Sisikii
date de sortie
17-11-2019



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.