Mbosso - Pawa paroles de chanson

paroles de chanson Pawa - Mbosso




(S2kizzy Baby)
Kamusi namaliza kurasa kukusifia
Matusi naiona Basata wakinifungia
Theluthi hizi raha nazopata me I feel mia, ah
Mjusi ukuta wa plasta nauparamia
Na kama penzi ni chupa la bia
Nipe sana niwe mlevi niyumbe yumbe njia
Kwa maana we mlezi na unanijulia
Hawana hawawezi pakukuibia dear
Power, power, naishiwa power
Penzi lako mizani mizito naishiwa power
(Pawa, pawa naishiwa power)
(Penzi lako mizani mizito naishiwa power)
Power, power, power, naishiwa power
Penzi lako mizani mizito naishiwa power
(Power, power, naishiwa power)
(Penzi lako mizani mizito naishiwa power)
Nilifeli secondary sikwendaga chuo
Ila kufeli penzi lako sina hilo chaguo
Yeremia mstari ni funue ufunuo, oh
Nikupambe kwa matari mwilini iwe nguo
Na kama penzi ni chupa la bia
Nipe sana niwe mlevi niyumbe yumbe njia
Kwa maana we mlezi na unanijulia
Hawana hawawezi pakukuibia dear
Power, power naishiwa power
Penzi lako mizani mizito naishiwa power
(Power, power naishiwa power)
(Penzi lako mizani mizito naishiwa power)
Power, power, power naishiwa power
Penzi lako mizani mizito naishiwa power
Power, power, naishiwa power
Penzi lako mizani mizito naishiwa power
(Kamix Lizer)



Writer(s): Blackvip Jr, Blackvip Jr Lemos, Mbwana yusuf  kilungi



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.