Mejja - Siskii paroles de chanson

paroles de chanson Siskii - Mejja



Okwonko, yeah
(Mavo on the beat)
Siskii, siskii, siskii
Niliambiwa nimuache siskii
Kamote, kamote, kamote
Pengting ameniseti kamote
Mbele ya watu ni mpole very calm
Lakini looks are deceiving
Usitake kumuona ka amejam
Eh dodge dodge, dodge sahani
Dodge hepa dodge vikombe
Dodge mboch ita masoja
Pengting anataka kuniua
Aki babe utaniua
Babe si upunguze kisirani
Unachoma picha kwa jirani
I don′t care!!
Siskii, siskii, siskii
Niliambiwa nimuache siskii
Kamote, kamote, kamote
Pengting ameniseti kamote
Manzi yangu ye ni boxer
Anajua hata kungfu
Nimeshindwa kumtoka ye ni kichwa ngumu
Manzi yako anakaaga mpole
Ahahaha usifanye nicheke
Baby face isikuuingize
Huyu ni stima, huyu ni nare
Juzi nilimuambia simtaki
Akaanza kisirani
Nitajiua nitakunywa harpic
Nikamrudia ju ya kupanic eh
Siskii, siskii, siskii
Niliambiwa nimuache siskii
Kamote, kamote, kamote
Pengting ameniseti kamote
Matha anataka nimuache
Maboyz wanataka nimsare
Mpaka namba yake nimeblock
Hadi IG nitakushow
Alipiga na namba sijuii
Kiundani nikaskia nimefurahi
Kidogo nikaskia amedai
Aki babe nataka kukuona "One last time"
Akakuja amevaa mini, akanichanganyisha akili
Nikamnyandua tukarudiana eeh
Siskii, siskii, siskii
Niliambiwa nimuache siskii
Kamote, kamote, kamote
Pengting ameniseti kamote




Mejja - Mejja
Album Mejja
date de sortie
24-04-2021




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.