Michael Magow - Ni Kifaa paroles de chanson

paroles de chanson Ni Kifaa - Michael Magow



Ananipenda kila saa
Hata nkifanya balaa
Ye anapenda kuwa na mimi
Ye anafanya najiamini
Anafanya nakuwa makini
Ye anafanya nakuwa makini
Nataka twende mbali
Mi na yeye twende mbali
Nimpe kush apige mistari
Akiwa tayari tujivinjari
Ooh sioni hatari
Kuwa na ye sioni hatari
Sijamuona kama ye
Sijamuona
Mtoto ni kifaa
Mtoto ni kifaa
Mtoto ni ki
Mtoto ni kifaa
Yeah
Mtoto ni kifaa
Mi ndio ana nifaa
Mi ndio ana nifaa
Mtoto nini
Mi ndio ana nifaa
Mi ndio ana nifaa
Nilisema si imbi mapenzi
Natunga hizi tenzi
Nataka nikuimbie we mpenzi
Nikuimbie we mpenzi
Na we ufurahi
Ufurahi na we ujidai
Ooh
Taka we ufurahi
Taka we ujidai
Taka we ufu
Taka we ufurahi
Taka we ujidai
Taka we
Taka we ufurahi
Mimi mimi mi nataka we ujidai
Anasema kuniacha hawezi
She's so deep kwenye mapenzi
Kitandani anakata kishenzi
Ananimaliza kichizi
Akiwa mbali na zoom kwa lens
Nikiwa nae nakua crazy
Nahisi kumuacha siwezi
Nahisi kumuacha siwezi
Mtoto ni kifaa
Mtoto ni kifaa
Oh, yeah
Mtoto ni kifaa
Mtoto ni kifaa
Oh, yeah
Mtoto ni kifaa
Mtoto ni kifaa
Oh, yeah
Mtoto ni kifaa
Mtoto ni kifaa
Oh, yeah
Love u till i die
Lemme love u
Lemme love u till u tell me
I'm the one to be true
Lemme love u till i die
Lemme love u till i die
Lemme love u till i die
Oooooh
Uuuuuh
Oooooh
Oooooh
Love u till i die



Writer(s): Michael Magori


Michael Magow - Ni Kifaa
Album Ni Kifaa
date de sortie
02-04-2019



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.