paroles de chanson Nikumbushe - Miki
Nirahisi
kinywa
kujawa
na
lawama
tele
Pale
mambo
yanapoonekana
Hayaendi
Ni
ajabu
sana
namna
moyo
unahangaika
Ajabu
sana
moyo
Unavyoonyesha
mashaka
yakwamba
Japokuwa
Mungu
anaishi
ndani
yangu
Kuna
muda
nahofu,
Japokuwa
Mungu
anaketi
kati
yetu
kuna
muda
nahofu,
Ahh
Nakumbuka
wana
wa
Israel
katika
bahari
Yashamu
Japo
walikatiza
katikati
ya
bahari
kwa
ushindi,
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
machozi,
Kwa
nyimbo
nyingi
waliimba
na
kumsifu
Bwanaa.
Lakini
baada
ya
kuvuka
na
kuliona
jagwa
Yalibadilika
mambo,
Manung'unikoo
yalisimama
Na
Kusahau
muujiza
alotenda
Bwana
Mwanzo
aah.
Eee
MUNGU
Nisaidie
ee
eeh
Nikumbushe
wema
wako
nisije
laumu
Nikumbushe
ukuu
wako
wakati
wa
Magumu
Nikumbushe
shuhuda
zako
ili
Nikusifu
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
Machozi,
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
machozi,
Eeh
ee
MUNGU
Nisaidie
Nisaidie
kukumbuka
baba
yakwamba
umenichora
Kiganjani
mwako
kati
ya
wengi
walioko
duniani
eenh
Na
mimi
umenionaa
Oooh
ooo
Nikumbushe
baba
yakwamba
ni
wewe
umeniponya
Nilipoumwa
Yakwamba
ni
wewe
mlipaji
wa
ada
yangu
shuleni.
Ouoh
ooh
Yakwamba
kama
ungeniacha
hatua
moja
Nisingelifika
nilipo
ooh
Eee
Babaa
Umenikung'uta
mavumbi,
Kung'uta
Mavumbi
mimi
na
kuniheshimisha.
Nikumbushe
wema
wako
nisije
laumu
Nikumbushe
ukuu
wako
wakati
wa
Magumu
Nikumbushe
shuhuda
zako
ili
nikusifu
Niimbe
wimbo
wa
sifa
Katikati
ya
machozi
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
machozi,
Nikumbushe
wema
wako
nisije
laumu
Nikumbushe
ukuu
wako
wakati
wa
Magumu
Nikumbushe
shuhuda
zako
ili
nikusifu
Niimbe
wimbo
wa
sifa
Katikati
ya
machozi
Niimbe
wimbo
wa
sifa
katikati
ya
machozi,
Yesu
nakutazama
ninakuamini
wewe
Fungua
maisha
yangu,
Nisaidie
nisilalamike
Mbele
zako,
Katika
hali
zote
nijue
upo
Umesema
hutaniacha
eeh
Yahweh
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.