Mimi Mars - Niache paroles de chanson

paroles de chanson Niache - Mimi Mars




Kila hatua dua
Nilishasahau zile njia tulizopitia
Domo kungaka ngaka
Maneno bila mpaka
Hukuniamini siku we
Moyo sikumpa mwingine
Sikujua mbeleni utaleta kisirani
Ukanishusha thamani
Sitaki ngo nenda zako
Hukujua ulichonacho
Ukaanza leta miyeyusho
Never never never again
Hebu niache mie
Hebu niache
Sitaki kungangana
Kwanza hunidai
Mwiko kuninanga
Nishakukinai
Oh yeah
Bado nadanga Natamba
Babu punguza kiranga
Meli nishavua nanga
Asili yangu ni kuwamba
Hukujua ulichonacho
Ukaanza leta miyeyusho
Never never never again
Hebu niache mie
Hebu niache
Niache mie
Ukanichoma msumari
Ukanipiga kabari
Ukaniona me si mwali
Ukazima kibatari
Teve teve ye
Nethimuenda
Hebu niache mie
Hebu niache
Niache mie



Writer(s): Mimi Mars



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.