Moni Centrozone - Mihela paroles de chanson

paroles de chanson Mihela - Moni Centrozone



Mini na centerzone east zoo
Majengo sokoni music!!
Tumeanza Chini
Chini
Chini
Chini
Chini
Tukichanga hamsini
Hamsini
Hamsini
Hamsini
Hamsini
Cha kwanza uzuri unaoh!
Cha pili unadharau!!
Toka enzi underground
Mpaka sasa na miheelah!
(Wooo!!) Na miheeela
Na miheeela
Tuko wote mpaka na miheelah!
(Woo!) Na miheela
Ah! Wanaomba visa kuwa na wewe
Sound zao n mchicha everyday
Napiga sarakasi paranawee
Wana-nidiss me Mimi mdogoo
Mdana wee.
(Mdana we)
Furaha tupu sahau pain
Naona your ex-boyfriend ana complain
Mwambie mi kichwa kwenye train
Neno langu kwako moja
(...)
Na umbile lako ndio na data
Na sura yako ndo nafyata
Mchezo wa kun.
(Mh!!) Bingwa wa karata!!
Mr ebony nnine pigo za ki-master
(Jeih!!!)
Nasimamia tu makuchaah!
Na nikihamaki kumekucha
Mtoto mtamu fisi kapewa butcher
Na kila kukikucha mnchujaah!
Tumeanza
Chini
Chini
Chini
Chini
Chini
Tukichanga hamsini
Hamsini
Hamsini
Hamsini
Hamsini
Cha kwanza uzuri unaoh!
Cha pili unadharau!!
Toka enzi underground
Mpaka sasa na miheelah!
(Wooo!!)
Na miheeela
Na miheeela
Tuko wote mpaka na miheelah!
(Woo!) Na miheela
Ukitaka kujua kuhus true love
Njoo kwangu me na real love
Mademu wa mjini wanaigiza feel love
Madanga waogope ka vile swilaah!
Tumetoka mbali ki askari
We keep it real love!
Penzi imara kama ukuta wa Berlin
Mtoto wa kiafrika eti wanakuita melanini
Wengi wananpiga vita
Wanakunja ndita ukiwa na Mimi
Me nazidisha mikuno
Nazidisha melody
Ushindi ngo! Ngo tatu
Kwenye mapenzi me fyatuu
Utamu wako baby
Wala usiwaambie watuu
Watu wakinundia dream
Mademu vusha stimu
Uchachu wao feki
Hata wakniwekea ndimuu
Nasema wuu!!
Nasimamia tu makuchaah!
Na nikihamaki kumekucha
Mtoto mtamu fisi kapewa butcher
Na kila kukikucha mnchujaah!
Tumeanza Chini
Chini
Chini
Chini
Chini
Tukichanga hamsini
Hamsini
Hamsini
Hamsini
Hamsini
Cha kwanza uzuri unaoh!
Cha pili unadharau!!
Toka enzi underground
Mpaka sasa na miheelah!
(Wooo!!) Na miheeela
Na miheeela
Tuko wote mpaka na miheelah!
(Woo!) Na miheela




Moni Centrozone - Mihela
Album Mihela
date de sortie
12-08-2018

1 Mihela




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.