paroles de chanson Hatutaki Kesi (feat. Rich Mavoko) - Mr Blue
Nikionana
nao
nakaa
nao
Nakula
nao,
nacheka
nao
Bila
kujua
kuwa
mi
ni
mbaya
wao
Kwenye
sala
zao
Mmmh,
kaa
la
gabao
Wanasema
dunia
dunia
salamu
zao
Mitaa
inanilinda
sina
bodyguard
Star
pia
nini,
check
cheki
dress
code
Black
sitopiga
uniite
blackboard
Na
njia
nayopinda
inaitwa
rough
road
Sichagui
bana
Sibagui
sio
rafiki
sio
adui
bana
Ataye
nizika
kwani
nani
simjui
bana
Sikagui
gwara,
tano
chui,
tano
swala
I
and
I,
ready
to
die
Plata
o
plomo
Live
or
die
Nikiwa
booth
natema
truth
Lie
nazi
-
Usilete
uzushi
nitakushoot
Uvishwe
suti
na
mabuti
mahututi
Ulale
kwenye
jeneza
hata
kama
una
bullet
Angalia
wana
snichu
snichu
Mungu
mwamuzi
na
kifo
Hatutaki
kesi,
wanatupa
kesi
Zao
kesi,
tunamada
kesi
Hatutaki
kesi,
wanatupa
kesi
Zao
kesi,
tunamada
kesi
Najua
dunia
sio
fair
Maisha
sio
fair
Mziki
sio
fair
Ila
mimi
siko
pair
Ya
nini
haya
mawazo
niko
na
pusha
napepea
Kwa
nini
matangazo
kutwa
kucha
kwao
umbea
Charts
on
air,
kanisogea
Ooh
basi
ngojea
au
ras
otea
Imekuwa
truth
tena
sio
simulizi
Namada
niko
booth
na
machizi,
lets
get
busy
Tumeunga
crew
kama
Young
Money,
Cash
Money
Na
mi
ndo
Lil
Wizzy
We
nyani
haupendi
rap
yako
ndizi
Waambie
nyumbani
mpwa
wao
anawapenda
mla
ndizi
Wape
na
machizi,
mi
ndo
mchizi
kichizi
Harakati
kama
hizi,
siku
tupigapo
mbizi
Ah,
lights
off
feel
the
music
Show
love
baba
feel
the
flow
Bye
bye
haters,
bye
wazushi
Sina
rafiki,
rafiki
ni
dog
Napenda
muziki,
nacheza
muziki
Show
love
shabiki
na
itoke
kwa
roho
Baba
yangu
muziki,
baba
yangu
muziki
Haukalii
hichi
kiti
utauliwa
na
flows
Angalia
wana
snichu
snichu
Mungu
mwamuzi
na
kifo
Hatutaki
kesi,
wanatupa
kesi
Zao
kesi,
tunamada
kesi
Hatutaki
kesi,
wanatupa
kesi
Zao
kesi,
tunamada
kesi
Ikibaki
changama
huwa
siridhiki
Yeah
wananiandama
ila
sishikiki
Ila
baba
anabless
anatetea
Na
wahuni
mpaka
west,
tunabembea
We
dhamini
Baba
God,
anatetea
Na
ukitema
mgodi,
tunabembea
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.