Mwana FA - Naamini paroles de chanson

paroles de chanson Naamini - Mwana FA




Naamini eeh ababa
Mwanzo nilipinga na kulataa
Sina budi kukubaliana na ukweli
Huu niuonao japo kua niliposikia
Kwa watu nilipuuza na kuona ni mambo
Ya kuzushwa yasiyokua na ukweli
Ndani yake lakini kadiri kuchwao naamini





Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.