paroles de chanson Nakucheki (feat. King Kerby & Amzi Odek) - Nabiswa Wanyama
Nakucheki ukitafuta, mapenzi ooh girl
Kinywaji kwa barafu in a really cold world
Tabasamu lake lanipa, uhai na kadhalika
Umenipa wadhifa
Viatu kuzisafisha
Umetoka wapi na, unaenda wapi
Umetoka wapi na, unaenda wapi
Umetoka wapi na, unaenda wapi
Umetoka wapi now, uh
Tafadhali usidhani, kwamba nina nia fulani
Tukakule biriyani, huko maskani na washikaji
Watakulaki uh
Kama malaika, we ni malaika
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa
Nakucheki hapa mtaa

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.