paroles de chanson Do Me (feat. Billnass) - Nandy
Chocolate
kalambaje?
Na
hata
sielewi
kanipata
pata
Kwani
kanipata
aje
Ameniweza
weza
nimenata
nata
Kwa
penzi
nakupenda
Na
nashindwa
kukukataa
Ndo
ujinga
huo
Umeniweza
weza
Umenipa
limbwata
Ndo
nini
hivyo
Ukinipata
penzi
basi
pia
zima
data
Ndo
chips
hizo
Na
vinyama
nyama
pilipili
washa
Ndo
tamu
hivo
Baby
walahi
Do
me,
do
me,
do
me
Do
me,
do
me,
do
me
Naandaa
kiberiti
niwashe
moto
Baba
leta
ukuni
Do
me,
do
me,
do
me
(Do
me
aii)
Do
me,
do
me,
do
me
(Do
me
aii)
Naandaa
kiberiti
niwashe
moto
Baba
leta
ukuni
(Do
me
aii)
Nafikiri
uliumbwa
Kwa
ajili
yangu
mahususi
Na
kila
Nikikutazama
Nafaa
nifikirie
harusi
Nafiki
kutumia
shela
Nafikiri
kuhusu
suti
Sifikirii
kutumia
kinga
Hata
waseme
una
virusi
Viuno
vingi
kama
Christian
Bella
Peace
ya
msela
African
princess
na
ndela
Hata
warika
na
mapunga
waje
kula
mchele
Si
wanatoa
siri
za
nyuma
twawapa
siti
za
mbele
Mapigo
ya
moyo
mama
yanakwenda
mbio
Nisamehe
kama
napokwona
sio
Mapigo
ya
moyo
mama
yanakwenda
mbio
Nisamehe
kama
napokwona
sio
Vile
kata,
kata
ukapinda
mgongo
Uliposema
tangu
ukawachanganya
wabongo
Vile
sikupakii
mkenya
wala
sikupakii
mcongo
Labda
arushe
matofali
maana
nishazoea
madongo
Do
me,
do
me,
do
me
(Do
me
aii)
Do
me,
do
me,
do
me
(Do
me
aii)
Naandaa
kiberiti
niwashe
moto
Baba
leta
ukuni
(Do
me
aii)
Do
me,
do
me,
do
me
(Do
me
aii)
Do
me,
do
me,
do
me
(Do
me
aii)
Naandaa
kiberiti
niwashe
moto
Baba
leta
ukuni
(Do
me
aii)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.