paroles de chanson Mimi Ni Wa Juu - Nandy
Kuna
wakati
wa
giza
Mbele
sioni
najiuliza
Mbona
kama
hizi
shida
Zimekawia
kuisha
Katikati
ya
maswali
Nasikia
sauti
ndani,
imebeba
ujasiri
Ikinitaka
nikiri
nikisema
.
Mimi
ni
wa
juu,
mimi
ni
wajuu
Mimi
ni
wa
juu,
juu
sana
Mimi
ni
wa
juu,
mimi
ni
wajuu
Mimi
ni
wa
juu,
juu
sana
.
Sitafsiriwi
kwa
haya,
machozi
na
magumu
Mimi
ni
mshindi
tu,
kamusi
ndiye
Mungu
Haijalishi
ni
giza,
Yeye
ni
nuru
yangu
Nitashinda
hii
vita
na
yote
yatakwisha
Ntasimama
tena,
ntainuka
tena
Mimi
ni
wa
juu
tu,
mimi
ni
wajuu
tu
Ntasimama
tena,
ntainuka
tena
Mimi
ni
wa
juu
tu,
mimi
ni
wajuu
tu
.
Mimi
ni
wa
juu,
mimi
ni
wajuu
Mimi
ni
wa
juu,
juu
sana
Mimi
ni
wa
juu,
mimi
ni
wajuu
Mimi
ni
wa
juu,
juu
sana
.
Nawaza
yaliyo
juu,
nawaza
yaliyo
juu
Juu
sana
Nawaza
yaliyo
juu,
nawaza
yaliyo
juu
Juu
sana
.
Mimi
ni
wa
juu,
mimi
ni
wajuu
Mimi
ni
wa
juu,
juu
sana
.
Sitafsiriwi
kwa
haya,
machozi
na
magumu
Mimi
ni
mshindi
tu,
kamusi
ndiye
Mungu
Mimi
ni
wa
juu,
mimi
ni
wajuu
Mimi
ni
wa
juu,
juu
sana
.
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.