Nasara - Fom Fresh paroles de chanson

paroles de chanson Fom Fresh - Nasara



Madini ndio tunawaletea
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Fresh fresh fresh, nina fom fresh
Fresh fresh fresh, nina fom fresh
Fresh fresh fresh, nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Wakijuju nina dudu on the beat
Wanategemea voodoo wapate marupurupu on the street
Nasoma mbuku on repeat
Nipate nguvu nikispeak
Baki nikiabudu Rabuka nikispit
Wanabonga sana nikija wako asthmatic
Wanachocha sana mziki ni problematic
Wakisoma mbana kwa jezi ni sarakasi na
Wanatoka tara sichezi kwa kandarasi
Rhyme scheme zenu ni mteja hapatikani (No)
Life skills kwenu ni keja na cash money
Light beam zetu Wakristo ni unlikely juu
IG zetu na life haziambatani
Kiongozi ni jambazi kwa supu atuchanganya
First bodi hana kazi juu huku kuna wajanja
Teachings wanadhamini ni zile za nduku na pia za khanga
Nitatangaza injili wakinishuku nitasimama
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Fresh fresh fresh, nina fom fresh
Fresh fresh fresh, nina fom fresh
Fresh fresh fresh, nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Wakivosho naleta kigoco to the Most High
No distortion kwa devotion ni sifa na multiply
He's my portion in the land of the living testify
Sioni kesho kuna mimi bila mkono wa El Shaddai
Kila kovu ni movie na kila call ni ya duty
Killer Croc hanigusi juu nina God si upuzi
Kumtegemea ni ujuzi na kuzembea sitambui (Huh)
Nina handle bars utadhani nina nduthi
Lazima tujichoche lazima tujiamini
Piga moyo konde lazima tujidhamini
Lazima tujikokote lazima tujizatiti
Hata watukoroge lazima tukae fiti
Itabidi sign language wakifunga maskio
Survival of the smartest tukipitia majaribio
Penya kati ya masavage kizazi kinadai Neo
Tuki take damage kwa kazi tunabaki real
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh
Fresh fresh fresh, nina fom fresh
Fresh fresh fresh, nina fom fresh
Fresh fresh fresh, nina fom fresh
Buda nina fom, buda nina fom fresh



Writer(s): William Gachihi


Nasara - Fom Fresh
Album Fom Fresh
date de sortie
01-10-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.