Nedy Music feat. Ommy Dimpoz - Usiende Mbali paroles de chanson

paroles de chanson Usiende Mbali - Ommy Dimpoz , Nedy Music



Mmh
Ur my luv luv lelele
Baby, bby boo
Ur my luv luv lelele
We ndo beautiful (nakupenda)
Kwangu namba one (tena ringa)
Penzi lako hoi (umefumba)
Mm kwako goigoi (umeniweza)
(Sipati tabu naona raha kwenye giza
Totoro washa taa letu penzi liwe furahaaa)×2
(Usiende mbali baki nami ur my luv luv lelelele)×2
Pozi zako ukiringa ringa
Mwenzako ndo napenda penda
Ushanichanganya sijiwezi mwenzio ooh aah
Rangi yako ya chungwa chungwa
Jinsi ume tinga tinga
Unanichanganya mwenzio
(Sipati tabu naona raha kwenye giza
Totoro washa taa letu penzi liwe furaha)×2
(Usiende mbali baki nami Ur my luv luv lelelele)×2
Never leave mi alone
I will luv you forever
Cwezi kwacha we mnyonge
I know you gonna marry am gonna Marry you
(Sipati tabu naona raha kwenye giza
Totoro washa taa letu penzi liwe furaha)×2
(Usiende mbali(usiende mbalii) baki nami(baki na
Mimi) ur my luv luv lelele(ur my luv ehh luv ehh)×4
Pozi kwa pozi
Nareel nareel on the bet
Ur my luv luv lelelelee
Aaah aah
Nedy
Ur my luv luv lelelelee
The industry
(Ur my luv luv lelelelee)×2




Nedy Music feat. Ommy Dimpoz - Nedy Music
Album Nedy Music
date de sortie
01-12-2016



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.