Nelly-Music - Ujasiri (Live) paroles de chanson

paroles de chanson Ujasiri (Live) - Nelly-Music




Lile deni ninalodaiwa
Halipo Tena
Ile hati ya mashitaka
Haipo tena
Lile deni ninalodaiwa
Halipo Tena
Ile hati ya mashitaka
Haipo tena
Lile deni ninalodaiwa
Halipo Tena
Ile hati ya mashitaka
Haipo tena
Lile deni ninalodaiwa
Halipo Tena
Ile hati ya mashitaka
Haipo tena
(Haipo tena)
Haipo tena
(Haipo tena)
Haipo tena
(Haipo tena)
Haipo tena
(Haipo tena)
Haipo tena
(Ile hati ya mashitaka)
Haipo tena
(Alionihukumu nayo shetani)
Haipo tena
(Haipo tena)
Haipo tena
(Haipo tena)
Haipo tena
(Yesu amenisamehe)
Haipo tena
(Yesu amenisamehe)
Haipo tena
(Ameifutilia mbali)
Haipo tena
(Ameifutilia mbali)
Haipo tena
(Ameifutilia mbali)
Haipo tena
(Ameifutilia Mbali)
Haipo tena
(Haipo tena)
Haipo tena
(Haipo tena)
Haipo tena
(Nimesamehewa)
Nimesamehewa
(Kwa damu ya Yesu)
Kwa damu ya Yesu
(Nimesamehewa)
Nimesamehewa
(Kwa damu ya Yesu)
Kwa damu ya Yesu
(Nimewekwa huru)
Nimewekwa huru
(Kwa damu ya Yesu)
Kwa damu ya Yesu
(Nimewekwa huru)
Nimewekwa huru
(Kwa damu ya Yesu)
Kwa damu ya Yesu
(Ndio)
Ndio
(Ndio)
Ndio
(Ndio)
Ndio
(Kwa damu ya Yesu)
Kwa damu ya Yesu
(Kweli)
Kweli
(Kweli)
Kweli
(Kweli)
Kweli
(Nimekombolewa)
Kwa damu ya Yesu
(Kwa damu ya Yesu)
Kwa damu ya Yesu
(Kwa damu ya Yesu)
Kwa damu ya Yesu
(Kwa damu ya Yesu)
Kwa damu ya Yesu
(Kwa damu ya Yesu)
Kwa damu ya Yesu
(Kwa damu ya mwana Kondoo)
Kwa damu ya Yesu
(Ilio mwagika msalabani)
Kwa damu ya Yesu
(Imefanya ondoleo la dhambi)
Kwa damu ya Yesu
Kwa damu ya Yesu
(Tumaini langu ni Yesu)
(Tumaini langu ni Yesu)
(Tumaini langu ni Yesu)
(Tumaini langu ni Yesu)
(Tumaini langu ni nani)
Tumaini langu ni Yesu
(Tumaini langu ni Yesu)
Tumaini langu ni Yesu
(Tumaini langu ni Yesu)
Tumaini langu ni Yesu
(Tumaini langu ni Yesu)
Tumaini langu ni Yesu
(Ujasiri wangu ni Yesu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ujasiri wangu ni Yesu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ujasiri wangu ni Yesu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ujasiri wangu ni Yesu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Kweli)
Kweli
(Ujasiri wangu ni nani)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Kweli)
Kweli
(Ujasiri wangu ni Yesu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ndio)
Ndio
(Ndio)
Ndio
Ndio
(Ujasiri wangu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ujasiri wangu ni Yesu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Nakuangalia wewe)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ujasiri wangu ni Yesu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ujasiri wangu ni Yesu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Alikufa msalabani)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Kwa sababu ya dhambi zangu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Akasema imekwisha)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Akasema imekwisha)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Tazama jinsi hii)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Mungu aliupenda ulimwengu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ata akamtoa Mwanae)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Kwa ajili yangu mimi)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Kwa ajili yako wewe)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Kwa ajili yetu sisi)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ujasiri wetu ni Yesu)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Ujasiri wetu ni Yesu)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Ukipita kwenye bonde)
Ujasiri wetu ni Yesu
(La uvuli wa mauti)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Hatutaogopa mabaya)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Yeye yupo pamoja nasi)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Adui akija kama mafuriko)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Atainua kiwango)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Dhidi yake na kumshinda)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Ujasiri wetu ni Yesu)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Alishuka kuzimu)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Akachukua mamlaka)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Akanipa mimi na wewe)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Ujasiri wetu ni Yesu)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Anasema usiogope)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Anasema usiogope)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Anasema usiogope)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Anasema usiogope)
Ujasiri wetu ni Yesu
(Nimewapa mamlaka)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ya kukanyaga nyoka)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ya kukanyaga n'ge)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ya kukanyaga Simba)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ujasiri wetu ni Yesu)
Ujasiri wangu ni Yesu
Ujasiri wangu ni Yesu
(Yesu tu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(Ujasiri wetu ni Yesu)
Ujasiri wangu ni Yesu
(King of Glory)
(King of Glory)



Writer(s): Paul Clement


Nelly-Music - Y Mak'sudi (Live versions)
Album Y Mak'sudi (Live versions)
date de sortie
30-01-2025




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.
//}