paroles de chanson Genge Love - Feat. Lady B - Nonini
Ehh
najua
manze
jamaa
watoto
sana
sana
wamekua
waki
complain
Sana
sana
wanasema
yaani
Kenyan
men
are
very
unromantic
Nasema
pole
On
behalf
of
all
the
men
out
there
Hii
ni
genge
love
Inaenda
kitu
ka
hii
Ntakupa
jamii,
ukinijalii
Nimeapaa
Uwe
msanii,
huna
ganjii
Sitakuacha
Bora
unipe
unacho
naahidi
mgenge
mi
Nimeapa
Mapenzi
bora
yatudumu
mi
na
wee
Bila
shaka
Mtoto
kwangu
wewe
ni
ka
maua
nispokushughulikua
ka
kukuwekea
maji
naeza
kuua
Nashkilia
roho
yako
fiti
ka
glasi
nisiiachilie
sabu
jo,
naeza
ivunja
Mtoto
wee
ni
ka
thambi
au
halua
Na
niko
sure
utamu
ya
manzi
mnaijua
Nyuma
ya
kila
mwanaume
anaendelea
kimaisha
Kuna
mrembo
anamshkilia
anam-support
kabisa
Manzi
wee
ni
ka
pesa
yangu
kwa
benki
Nakuhifadhi
maisha
ya
baadaye
watoto
wengi
Siunajua
wewe
ni
ka
track
noma
kwa
msani
Feeling
yenye
wee
hunipa
nikiwa
studio
ndani
Mtoto
ni
ka
hewa
ya
asubuhi
na
mapema
Jua
ikikata
wingu
smile
yako
unacheka
Saa
hii
una-blush
unadai
nakudanganya
Ukweli
ni
ningependa
kuomba
hizo
mbana
Ntakupa
jamii,
ukinijalii
Nimeapaa
Uwe
msanii,
huna
ganjii
Sitakuacha
Bora
unipe
unacho
naahidi
mgenge
mi
Nimeapa
Mapenzi
bora
yatudumu
mi
na
wee
Bila
shaka
Mtoto
wewe
ni
ka
ndai
yangu
balaa
Vile
mimi
huishughulikia
kuiekea
tuu
hivi
ngataa
Na
rangi
ya
power
ndio
ikae
smattaa
Shika
hii
noti
kuja
tengeza
hataa
Sura
nywele
shuglikia
na
vitu
kadhaa
Ndio
niringie
ma
boy
wangu
vile
tu
umevaa
Mtoto
najua
wewe
ni
ka
paka
yangu
ya
nyumba
Nakupapasa
mgongo,
nywele
na
sura
Matym
unaeza
kuwa
ka
simba
wa
Tsavo
Najua
hutaki
manzi
mwengine
karibu
na
boy
wako
Cheki
vile
unatembea
ka
tausi
Swagger
juu
na
Maringo
nafkiria
harusi
Mtoto
wewe
ni
ka
pete
ile
ndakuoa
nayo
Itakwama
kwa
hii
mkono
wacha
rungu
ya
nyayo
Najua
hujazoea
kuambiwa
vitu
ka
hizi
Genge
love
ndio
una-experience
sa
hizi
Ntakupa
jamii,
ukinijalii
Nimeapaa
Uwe
msanii,
huna
ganjii
Sitakuacha
Bora
unipe
unacho
naahidi
mgenge
mi
Nimeapa
Mapenzi
bora
yatudumu
mi
na
wee
Bila
shaka
Mtoto
wee
ni
ka
gazeti
mi
huwaga
nimekusoma
Ukinijamia
nakuangushia
joke
moja
noma
Nishakwambia
wewe
ni
ka
vumbi
ikishakana
na
mvua
Inanukiaga
aroma
moja
tu
ya
ki
sure
Ndio
wewe
ma
cocoa
butter
ukishajipaka
Mapua
yangu
kwa
shingo
tu
najipata
Mtoto
kwangu
wewe
ni
ka
kitunguu
Unanitoaga
machozi
najikausha
tu
vigumu
Labda
waeza
sema
jo
hii
story
haikubambi
Hakuna
mahali
naenda
hapa
nadunga
kambi
Jah
jah
mwenyewe
niko
sure
akikuona
yeye
hucheka
Malaika
wanamgotea
moral!
vile
alikujenga
Kuna
vitu
mob
sana
naeza
ku
compare
nazo
Lakini
hii,
hii
ndio
mwisho
ya
mawazo
Wewe
ni
ka
mstari
ya
mwisho
kwa
ngoma
Venye
ina-blend
fiti
na
inaingiza
chorus
ha
Ntakupa
jamii
Ukinijalii
Nimeapaa
Uwe
msanii
huna
ganjii
Sitakuacha
Bora
unipe
unacho
naahidi
mgenge
mi
Nimeapa
Mapenzi
bora
yatudumu
mi
na
wee
Bila
shaka
1 Godfather Record Label Intro
2 Colour Kwa Face - Feat. Christine Apondi
3 Genge Love - Feat. Lady B
4 Huyo - Feat. Frasha And Boneye
5 Kataa Hiyo
6 Kataa Hiyo Feedback - Feat. Willy M Tuva
7 Heshma
8 Kila Mmoja - Feat. Chege Tmk And Lady B
9 Godfather Record Label Skit Pt 2
10 Kadhaa Bvgs By Christine Apondi
11 Mziki - Feat. Chidi Benz Marble
12 Siri Zangu Bvgs By Christine Apondi And Dj Hypnotic
13 Kumbuka - Feat. Lady Bee
14 Ngoma Yako - Live Version
15 Godfather Record Label Grand Finale
16 Hii Barua - Feat. Karma
17 Kadhaa Remix - Bonus Track
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.