paroles de chanson Kadhaa - Nonini
Hii
ni
celebration
ya
watu
wote
wale
wana-live
their
dream
Umekuwa
uki-struggle
through
thick
and
thin
Finally
mambo
yako
imeanza
kuenda
poa
Through
patience
na
persistence
tumetoboa
Waafrika
tumefika
mahali
tulikuwa
tunataka
Big
up
Obama,
na
huu
ni
Godfather
Eh
oneni
hii
mambo
vile
inaenda
sasa
Dunia
nzima
vile
mgenge
anaandika
ukurasa
za
history
bana
Na
ma-action
na
kila
kitu
jo
mi
huwanga
nafanya
Nani
alisema
hatuwezi
ishi
na
wasanii
Daily
kuwa-prove
wrong
tunaongeza
vitambi
Utasimamishaje
kifaru
ikiwa
full
speed
mbele
Itapitia
na
kila
kitu
fungua
pazia
wewe
Bora
ujue
mchezo
jo
kuicheza
kwa
uwanja
Wacha
hawa
watangulie
waende
jo
huko
kwanza
Waanze
na
moto
kesha
watoe
jasho
brother
Kijelimo
jo
unaanza
kuwakaribia
Ona
sasa
vile
unawapita
ukiwa-smile-ia
Finish
line
ndio
hiyo
iko
karibu
jo
imekaribia
Moyo
inadunda
taratibu
inakimbia
Iyo
ndoto
yako
na
iyo
ndoto
yangu
mi
naishi
Kwa
hivyo
imba
karibia
celebrate
na
mimi
Ka
una
ganji
kadhaa
na
umeng'ara
balaa
Una
machupa
kadhaa
na
madada
kadhaa
Umetoka
kwa
bank
gari
full
kwa
tank
Wee
ni
mgenge
jamaa
umepata
wife
na
jamaa
Niko
full
mzuka
ka
MC
Hammer
Nahuwezi
gusa
hii
na
ma-neighbour
walihama
So
usione
vile
muziki
jo
inaanguka
Mabinti
wafiti
jo
vile
wanajirusha
Sababu
sista
m-small
ame-graduate
leo
campo!
Nilikuwa
najua
haka
katoi
siku
moja
atafika
hapo
Brother
amedungwa
promotion
jamu
ya
vungu
Eh?
promotion
jamo
ya
vungu?
Brother
amedungwa
promotion
moja
ya
nguvu
Round
ile
uli-apply
kitambo
naskia
imejipa
Hiyo
ndai
mpya
ulikuwa
ukitaka
umeangukia
Barabara
imeongezwa
lane
nne
una-switch
switch
tu
ma-gear
Najua
wengi
wenu
mshachoka
na
maneno
ya
siasa
Hawa
majama
huwanga
wanatuzungusha
ni
ka
tunacheza
salsa
Haina
mambos
siku
yao
jo
itafika
Lakini
in
the
meantime
celebrate
kabisa
Kuwa
Mwafrika
Kuwa
Mwafrika
Ka
una
ganji
kadhaa
na
umeng'ara
balaa
Una
machupa
kadhaa
na
madada
kadhaa
Umetoka
kwa
bank
gari
full
kwa
tank
Wee
ni
mgenge
jamaa
umepata
wife
na
jamaa
KCSE
watu
wangu
najua
mmepita
Playstation
3 umei-earn
bila
shida
Na
usiwe
na
wasiwasi
ata
ka
exam
umedunda
jamaa
Huwezi
jua
labda
wee
ndio
the
future
Obama
Kuna
harusi
noma
leo
nimealikwa
baadaye
Mtu
wangu
Abbass
anaoa
why
lie
Morale
boy
wetu
huyo
ametu-set-ia
pace
Lakini
mi
bado
nipo
nipo
just
in
case
Ulikuwa
una-wonder
Vuka
Bongo
uksuliza
mtu
wangu
wa
nguvu
tu
Mwana
Lakini
reception
mambo
mbaya
Venye
hizi
drinks
zina-come
hawa
jamaa
wana
ubaya
Hapana
tuna-make
sure
si
ndio
wa
mwisho
kutoka
Unakuwa
amani
ka
chuma
imepigwa
solder
Hii
ni
verse
ya
ma-bachelor
wote
wale
wametuacha
Sijui
tunawa-celebrate
vile
watoto
kibao
tunawapata
Ka
una
ganji
kadhaa
na
umeng'ara
balaa
Una
machupa
kadhaa
na
madada
kadhaa
Umetoka
kwa
bank
gari
full
kwa
tank
Wee
ni
mgenge
jamaa
umepata
wife
na
jamaa
1 Godfather (Intro)
2 Colour
3 Genge Love
4 Huyo
5 Kataa Hiyo
6 Kataa Hiyo, Pt. 2
7 Heshma
8 Kila Mmoja
9 Godfather
10 Kadhaa
11 Mziki
12 Siri Zangu
13 Kumbuka
14 Ngoma Yako
15 Godfather Record Label Grand Finale
16 Barua
17 Kadhaa, Pt. 2
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.