paroles de chanson Keroro - Nonini
Yeah,
we're
recording?
Sawa,
cue
me,
twende
tena
Ah,
yeah,
oh
Hii
ngoma
ni
ya
wale
watu
wanapenda
kwenda
maclub
huku
kenya
Na
wale
watu
wanaingianga
club
wanatoka
asubuhi
na
mapema
Na
wale
watu
wanapenda
kupewa
Ata
ka
shindano
dunga
kwa
mkono
bora
ufike
kwa
hewa
Ha,
another
Homeboyz
Produc-shizzle,
yeah
Wajua
nimeshindwa
kusema
jina
yangu
Nonini?
Wajua
nimeshindwa
kusema
jina
yangu
Nonini?
Kwa
nini?
Kwa
nini?
Kwa
nini?
Kwa
nini?
Keroro,
keroro,
keroro,
keroro
Niko
gauge
jo,
niko
maji
jo
Niko
keroro
Hakuna
kitu
naona
kwa
hii
club
ispokuwa
beer
yangu
na
watoto
Kwanza
kwa
counter
kuna
moja
ananipiga
usoro
Namyemelea
huku
nikist-sta-stagger
Ananiangalia
vibaya
lakini
mi
najua
ywanitaka
"Mko
wawili
ama
naona
vitu
zangu?"
"Nta
acha
kuenda
kwa
mama
pima
kukunywa
ng'ang'o"
Wanukia
poa
kwani
umejipaka
nini?
Mmh,
na
nahope
pia
umejipaka
huko
chini
Asubuhi
ikifika,
jo,
hii
club
mi
sitoki
Bila
we'
nimekukunja,
jo,
ndani
ya
hii
koti
Ebu
kwanza
simama
nikague
hizo
vitu
Nikiona
zimesimama
lazima,
jo,
nitakutibu
Eh,
na
zimesimama,
lakini
nikuulize
swali
Umevaa
chupi
ngapi,
jo,
hapo
ndani?
Usiniongeleshe
kingoso,
jo,
kwani
we'
ni
mlami?
Leo
nimebeba
CD
zangu,
ah-ah
sidhani
Trust
yangu
haiko
na
bado
waeza
sema
nami
Sina
Trust
na
bado
waeza
sema
nami
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Amniotic
fluid
ndio
hukuanga
ndani
ya
tumbo
ya
mamatha
Lakini
mi
husema
kitu
moja
jo
I'd
rather
ingekuwa
ni
keroro
iko
huko
ndani
ya
tumbo
Na
nikisha
waka
huko
ndani,
matha
anapiga
makumbo
Leo
nataka
kuona
kila
mtu
kwa
club
amewaka
Vuta
blunt
combine
na
tembe
jo,
mpaka
Utemebee
na
magoti
ka
kobe,
hakuna
haraka
Ah,
jamaa,
skizeni,
skizeni
Na
mpango,
na
mpango
ya
jet
fluid,
kuna
row?
Kuna
row?
(Iko,
iko)
Sawa,
sawa,
sawa
Alafu
tunaidilute
na
chupa
moja
ya
miti
ni
dawa
Make
sure
trou'
kwa
magoti
umeifunga
na
kamba,
kaza
Baada
ya
kupewa
kuwa
ready
kuharwa
Na
ka
we
ni
manzi
kuwa
ready
ku-
(si
unisare)
Kuwa
ready
kurushwa
ma-Timb
boots
ka
umezing'ara
Steam
haimatter,
kupewa,
kichuri
au
kuchana
Si
tumezoea
kuingia
bar
saa
tatu
usiku
na
wasichana
Na
tunatoka
siku
ya
pili,
saa
saba
mchana
"Jamaa
naskia
kutapika
Kwanza,
kwanza
huyo
mjamaa
ntampiga
Ngoja,
ngoja
kwanza
phone
yangu
iko
wapi?
Phone
iko
wapi?"
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Nikiamka
asubuhi
kila
siku
ni
mkate
na
beer
Nikiwa
mgonjwa
drip
water
bado
ni
beer
Saa
sita
nimeingia
home
wife
hajatuna
ametulia
Nikatoa
nguo
zangu
mdogo,
mdogo,
nikampandilia
Vile
anamorale
jo,
anajua
leo
lazima
atalia
Nikampandilia
lakini
vile
nilikuwa
gauge
nikasinzia
Ndio
maana
bibi
zetu
jo,
sikuizi
wanazusha
Sababu
ya
kuwaka
daily
jo,
wamesindwa
kuwachangamsha
Hatuangali
maslahi
ya
jamii
Lakini
daily
ntakuwa
keroro,
kwani?
Dunia
nzima
hakuna
beer
ka
ya
Nairobi
Na
ka
unafikiria
nakudanganya
kaulize
Robert
Warobi
Niko
gauge,
niko
maji
Mpaka
nauliza
Musyoka
hii
verse
itaenda
aje
"Musyoka
hii
verse
itaisha
aje?"
"Musyoka
hii
verse
itaisha
aje?"
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
Niko
gauge
(niko
gauge),
niko
maji
(niko
maji)
Niko
keroro
1 Intro
2 Manzi Wa Nairobi
3 Mtoto Mzuri Original
4 We Kamu
5 Moyoni
6 Watu
7 Hunipati
8 Kasyoka - Interlude
9 Keroro
10 Kuta Vitu
11 Walietuacha
12 Keroro Rekebisha - Remix
13 Outro
14 Bonus Track We Kamu - Remix, Feat. Juacali
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.