Octopizzo feat. Maga - Swaga Za Wapi paroles de chanson

paroles de chanson Swaga Za Wapi - Mága , Octopizzo



Maswaga za wapi
Nikifanya mnacopy
Maswaga za wapi ee
Ofisa kunihoji
Maswaga za wapi ee
Kuzozana kwenye ploti
Maswaga za wapi
Wanasanya na hiitoshi ee
Mi ni yule jamaa
Napenda madem
Siwezi kaa bila kubongesha toto
Kula chako pekee yako
Mimi mimi sitaki chako we ee
Kinduku kiwake
Alafu Mashukisha
Kwa hayo machache
Napiga Tequila
Maswaga za wapi
Nikifanya mnacopy
Maswaga za wapi ee
Ofisa kunihoji
Maswaga za wapi ee
Kuzozana kwenye ploti
Maswaga za wapi
Wanasanya na hiitoshi
Sema Kenye Unadai, niko Dubai ey
Sema kenye Unadai niko Mumbai,
Sema kenye unadai, niko Shanghai,
Sema kenye unadai, kenye unadai ntabuy
Changamka kila ngware gizani hesabu zangu mita,
Ramadhan nimetinga kaa rada na kitita,
Maswaga za wapi
Nikifanya mnacopy
Maswaga za wapi ee
Ofisa kunihoji
Maswaga za wapi ee
Kuzozana kwenye ploti
Maswaga za wapi
Wanasanya na hiitoshi
Mizani vina, ni gani sina?
Imbo mi sina, zako za China,
Gizani kicha, maganji ni shida,
Uliza jina pizzo'De, mi ni shida,
Kizazi kipya mi ndio leader,
Swaga zenyu zote pipa,
Kwenye boxer cheki fifa,
Niko messi hii la liga,
Maswaga za wapi
Nikifanya mnacopy
Maswaga za wapi ee
Ofisa kunihoji
Maswaga za wapi ee
Kuzozana kwenye ploti
Maswaga za wapi
Wanasanya na hiitoshi
Ye ye ye ye yeye,
Swaga za wapi swaga za wapi swaga za wapi ye



Writer(s): Henry Ohanga, Alan Mensah


Octopizzo feat. Maga - Jungle Fever
Album Jungle Fever
date de sortie
20-11-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.