Okello Max feat. Ywayaa - Amezaliwa paroles de chanson

paroles de chanson Amezaliwa - Okello Max feat. Ywayaa



Amezaliwa Bethlehem
Siku hii kuu lazima tu-she-reke eeeeh
Bethlehemu oooh
Mkombozi kazaliwa
Amezaliwa
Twashuhudia
Dunia nzima
Twaburudika
Kanisa mashangwe zote zinaskika
Kwa keja manyamachoma zinaiva
Ukichelewa utazipata zimeisha
Harufu zinapotea na dirisha
Wadhiyo rego waduogane gimogo
Auchiel romo wasechielo kamongo
Luonguru nyithindo pamoja na jodongo
Hapa hakuna ojiko finya na mukono
(Christmas time)
Amezaliwa Bethlehem
Siku hii kuu lazima tu-she-reke eeeeh
Bethlehemu oooh
Mkombozi kazaliwa
Amezaliwa Bethlehem
Siku hii kuu lazima tu-she-reke eeeeh
Bethlehemu oooh
Mkombozi kazaliwa
En sikukuu wamore wamoke wacham rhumba eeeh
Mafoleni kwa mamoli watu wanapiga mashope
Jirani yako basi leo mkumbuke
Wewe ndo Santa wenzako we wagawie
Kama hujanauo basi leo utanauo
Rhumba ya mashinani imefika nairo
Popote itakupata hata kwa mtaro
Bora uhai wewe piga Erokamano
Wadhiyo rego waduogane gimogo
Auchiel romo wasechielo kamongo
Luonguru nyithindo pamoja na jodongo
Hapa hakuna ojiko finya na mukono
(Christmas time)
Amezaliwa Bethlehem
Siku hii kuu lazima tu-she-reke eeeeh
Bethlehemu oooh
Mkombozi kazaliwa
Amezaliwa Bethlehem
Siku hii kuu lazima tu-she-reke eeeeh
Bethlehemu oooh
Mkombozi kazaliwa
Kama hujanauo basi leo utanauo
Rhumba ya mashinani imefika nairo
Popote itakupata hata kwa mtaro
Bora uhai wewe piga Erokamano
Aaaah,aaa, aaaaa, yeeeeee piga Erokamano
Davina nyagem kathomo
Mercy Myra jangolo modhial ahinya
Cecil Bosslady nyar abella
Heavy J Jalas Mwenyewe baba
Oguyo guyo Ramogi FM
Jadyen Wuo State House eehhhh
Joho 001
Jose Kongoloo
(Chants)




Okello Max feat. Ywayaa - Amezaliwa (feat. Ywayaa) - Single
Album Amezaliwa (feat. Ywayaa) - Single
date de sortie
24-01-2021



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.