paroles de chanson Baby Love - Otile Brown
Mmmh...
oooh
laaa...
yeah
yeah
yeah...
Thamani
yako,
uzuri
wako,
naujua
mwenyewe
Sikuachi
pengine
uniache
wewe
Alimradi
unanipenda,
peke
yetu
tutaishi
kwenye
dunia
Sikuachi
pengine
uniache
wewe
Jiko
we
jiko
langu
kama
mboni
ya
macho
yangu
Ntakulinda
mpenzi
wangu
Achana
nao(nao),
achana
nao(nao),
Ooh
achana
nao,
hao
wenye
roho
mbaya
wanatusema
vibaya
Baby
love,
wewe
wangu,
mi
wako
wa
moyo,
Oh
baby
love
usije
niacha
kwa
fitna
na
maneno
yao
Mmmmh
Oh
yeah
Huna
habari,
jinsi
gani
moyo
wangu
unaupendeza
We
ndio
furaha,
yangu
we
ndio
amani
yangu
We
ni
jiko,
jiko
langu,
kama
mboni
ya
macho
yangu
Ntakulinda
mpenzi
wangu
Achana
nao(nao),
achana
nao(nao),
Ooh
achana
nao
hao
wenye
roho
mbaya
wanatusema
vibaya
Baby
Love
wewe
wangu
mi
wako
wa
moyo,
Oh
Baby
Love
usije
niacha
kwa
fitna
na
maneno
yao
We
ni
jiko,
jiko
langu,
kama
mboni
ya
macho
yangu
Nitakulinda
mpenzi
wangu.
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.