paroles de chanson Shujaa Wako - Otile Brown
Ukihitaji
rafiki
unipigie
(unipigie)
Nami
ntafika
kabla
dakika
hajizakwisha,
Kifuani
mwako
ntakuliwaza,
Na
ntakesha
nkikutazama
ukilala
(BRIDGE)
Ntakua
shujaa
wako,
Ntakua
kila
kitu
ukipendacho
Mwanaume
kamilifu,
Ntakua
shujaa
wako,
Ntakua
kila
kitu
ukipendacho,
Mwanaume
wa
kimiujiza
baby,
eh
(CHORUS)
Nataka
niwe(niwe)
yule
umwaminiaye,
nieleze
siri
zako
ntazihifadhi.
Nataka
niwe(niwe)
yule
akufarijiaye,
niambie
shida
zako
ntazitatua.
Unastahili
bora
mpenzi
nami
ntakufanya
ujihisi
muhimu
tena
mwenye
dhamani
Ntakupumbaza
na
mapenzi,
nawe
utajihisi
kama
we
ndo
mwanamke
pekee
kwenye
hii
sayari.
Maana
ukichoka,
ntakuogesha,
ntakupikia,
ntakulisha,
nikupeleke
kitandani
nikuimbie
mpaka
ulale,
babe,
(BRIDGE)
Ntakua
shujaa
wako,
kila
kitu
ukipendacho
Mwanaume
kamilifuu
Ntakua
shujaa
wako,
Ntakua
kila
kitu
ukipendacho
Mwanaume
wa
kimiujiza
baby,
(CHORUS)
Nataka
niwe(niwe)
yule
umwaminiaye,
nieleze
siri
zako
ntazihifadhi.
Nataka
niwe(niwe)
yule
akufarijiaye,
niambie
shida
zako
ntazitatua.
Nataka
niwee
...eh
Natamani
niwe...
eh
Nataka
niwe...
niwee...
eh
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.